Tanzania imefeli vibaya kwenye vituo vya reli ya kisasa(SGR)

Kwani uliambiwa stations ndizo tutakazopanda? Acha majungu ...kama usemayo ni kweli na si majungu weka jina lako halisi. Umeshindwa kuiba unakuja kuleta majungu
jina halisi weka lako we bibi vipi
 
Huna lolote mbea tu wewe na huna uinjinia wowote kibarua tu wewe
Haaaa eti kibarua muulize Masanja kadogosa, au Mr. Mgezi au MR Katalaya watakuambia mimi ni nani
 
Mwanamme kuwa mbea ni mbaya zaidi😡
 
Maengineer wa Tanzania wakijenga chini wa watu weupe, ujenzi una ubora wakijenga wenyewe mifano mnayo, barabara za Kinondoni, st Mary's, miradi iliyogomewa kufunguliwa na mwenge, madarasa Kilolo nk, halafu mnaleta upupu humu. Labda uwe umetumwa na wapinga kila jambo
 
Hilo nakubaliana na wewe 100%.

Angalia tu station za mabasi za hivi karibuni zinavyojengwa ni upuuzi mtupu.
 
mimi nad
 
mimi nadhani yuko sahihi. Nia kubwa ya kuwa na mziki mkubwa huu ni kusaidia wananchi. Kuna haja ya kuangalia namna ambavyo wafabnyabiashara wetu wadogo wanaweza pia kuingia katika treni hiyo na kurejea kwao. Pia ipo haja ya kuangalia namna ambavyo wtau wetu na mizigo yao wanaweza kutumia usafuiri huu
 
Shikamoo mkuu we ndo unajua maana ya SGR
 
Tanzania Lazima Iende Mbele
Penda Sana Uzalendo
 

wewe itabidi watu wa kitengo wafanye juu chini waitambue ID yako halisi,halafu baada ya hapo mengine yatafata hususani suala la kukufundisha uzalendo.

kuna kila dalili utavujisha mambo mengi zaidi kuhusu mradi wetu wa sgr.
 
Wasafiri hawataki mbwembwe..Cha msingi huduma ya SGR yenyewe ndio iwe bora.
Mambo majengo sijui yawe vile sijui hivi,kwani tunalala hapo?
Kaama nia ninreli kukaa miaka 100 ijayo lazima ukubwa wa stesheni uzingatiwe.
Mfano. Inawezekana vituo vya mwendokasi dar vikaonekana vikubwa kwa sasa lakini miaka 20 ijayo vinaweza kuwa vidogo.
Ni muhimu sana. Ndio maana pia terminal za uwanja wa ndege zinaongwzwa kuzingatia ongezeko la watu.
 
Muda ukifika au mahitaji yakipngezeka tutajenga au kuvipanua mbele ya safari..Kwa sasa treni na reli ndio kipaumbele
 
Huna ethics za kazi, future ni giza tupu ukiendelea na swaga kama hizi, inshu zako za kazi confo kama hizi unaaanza kuzileta JF na mwajiri kama yuko smart kesho tu ungelimwa barua ya matumizi mabaya ya taarifa. Jifunze kuwa na kifua uwapo kazini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…