Tanzania imefeli vibaya kwenye vituo vya reli ya kisasa(SGR)

Huna ethics za kazi, future ni giza tupu ukiendelea na swaga kama hizi, inshu zako za kazi confo kama hizi unaaanza kuzileta JF na mwajiri kama yuko smart kesho tu ungelimwa barua ya matumizi mabaya ya taarifa. Jifunze kuwa na kifua uwapo kazini
We vipi kama mtu hukubaliani na kitu Kwa nini husiseme ndo maana na JF kuja na fake Id kukosoa sio kosa
 
Mnapinga ila ukweli ndo huo Yapi Merkez kwenye station hayupo vizuri angalia alichowafanyia ethiopia hadi humuhumu watu waliziponda station za Ethiopia ila wewe uliyesoma political science unajifanya unajua
Empty set
LETA BASI HIZO PICHA Mkuu
 
wewe itabidi watu wa kitengo wafanye juu chini waitambue ID yako halisi,halafu baada ya hapo mengine yatafata hususani suala la kukufundisha uzalendo.

kuna kila dalili utavujisha mambo mengi zaidi kuhusu mradi wetu wa sgr.
Haaaa kuvujisha nini station zipo kwenye mitandao, Beni mwanantala kwenye reli TV kaonesha kila kitu, vipi nayeye si mzarendo
 
As long as reli ipo vzr majengo tunaweza kubadilisha huko baadae yakishachoka
Ndo haya haya ya kujenga barabara bila kuwaza kwamba baada ya miaka kadhaa magari yataongezeka. Wenzetu wakianza ujenzi uwaza miaka 30 mbele kuepusha gharama za kubomoa na kujenga na kuepuka msongamano kama ilvyo kwa vituo vya mwendo kasi
 
Mkuu vichwa maji hao
 
Nyinyi ndio watumishi ambao hamjui maadilli ya kazi(Work Ethics),unajiitaje Engineer katika mradi halafu unalalamika kuhusu poor designing,wewe kama Engineer Mtanzania mzalendo si ndio ilibidi ukosoe kwenye vikao vyenu vya ndani ili hilo tatizo litatuliwe,sasa kama wewe ambae ni Engineer ambaye ndio unafanya nao kazi na upo ndani umeshindwa kutatua tatizo,unadhani hawa Jf wataweza?ni mda muafaka wataalamu wetu wa kitanzania muache unafiki na siasa kwenye mambo ya kitaalamu mtangulize uzalendo na mfanye kazi,kwa maslai ya sisi wanachi ambao ndio walipa kodi wakubwa.
 
Hili mimi pia limenishangaza kabisa.

Huyu mdau analeta mambo ya kitalaamu kwenye hadhira bila msingi wowote na uandishi wake haujitoshelezi kabisa.

Engineering ethics sijaziona kwake.
 
Mnapinga ila ukweli ndo huo Yapi Merkez kwenye station hayupo vizuri angalia alichowafanyia ethiopia hadi humuhumu watu waliziponda station za Ethiopia ila wewe uliyesoma political science unajifanya unajua
Empty set

Kaka haya mambo mlitakiwa kuyamaliza huko huko.

Na huo mradi si una Consulting Firm ? Kazi yao nini
 
Hili mimi pia limenishangaza kabisa.

Huyu mdau analeta mambo ya kitalaamu kwenye hadhira bila msingi wowote na uandishi wake haujitoshelezi kabisa.

Engineering ethics sijaziona kwake.
#EngineerWaKudesa
 
#EngineerWaKudesa

Hawaiyeyusho sana. Tatizo la ma engineer wa kibongo wamekaa ki timing timing yaani wao wanaona makosa tu,ukiwapa kazi ya kufanya designing utafurahi na roho yako.

Huwa nawaambia watu miongoni mwa mambo marahisi kufanywa na watu ni kukosoa ila ukimpa yeye afanye hicho ulicho unacho fanya wewe nanga ina paa.
 
Dah! Kiremba? Safi sana. Natamani kuziona. Hayo ndo mambo, nilikua naangalia architecture ya afrika na aina ya majengo nikagundua sisi tuna matatizo makubwa. Mungu akijaalia tutajenga jengo kubwa linalofanana na ikulu ya Watemi wetu hapo dar. We needed this. I am for this. My inner patriotic is burning up.
 
Kama upo Ngerengere ni Pm
 
Angekuja na thread ya kuelezea solution tungemuelewa,kwanza kwa jinsi alivyo andika hii thread huyu sio Engineer,ila atakuwa ni supporting stuff(kibarua).
 
Angekuja na thread ya kuelezea solution tungemuelewa,kwanza kwa jinsi alivyo andika hii thread huyu sio Engineer,ila atakuwa ni supporting stuff(kibarua).

Hili nilitaka kulisema sema nikafuta kama mara mbili hivi,sababu nilipata hasira kidogo nikaamua kumuuliza hivi "Consultant wa huo mradi anasemaje kuhusuhiyo designing ?". Ndio nasibiri jibu hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…