Tanzania imefeli vibaya kwenye vituo vya reli ya kisasa(SGR)

Heeh picha umesahau kutuma? We jamaa tumesubiria picha kama tunasuniria boom
 
Hili nilitaka kulisema sema nikafuta kama mara mbili hivi,sababu nilipata hasira kidogo nikaamua kumuuliza hivi "Consultant wa huo mradi anasemaje kuhusuhiyo designing ?". Ndio nasibiri jibu hapa.
Hawezi kukujibu sababu hana hata hiyo abc ya engineering.
 
Mertz ",eath chief" WA yap, anakisilani.utadhani ana ugonjwa wa vitrigo. Hawana huruma na watz
 
Nilidhani watadizaini na station ya K-vant na miss Bantu kuenzi asili
 
Consultant wa huo mradi anasemaje kuhusu hizo designing ?
Consultant Anatoka South Korea yeye aliona sawa, kwani Yapi zile takataka za Ethiopia alizojenga hawakuwa na consultant ?
 
kama yuko kule kweli mleta mada......aanze kutafuta kazi nyingine! Wala si mtishii...mimi namwambia tu.
 
Consultant Anatoka South Korea yeye aliona sawa, kwani Yapi zile takataka za Ethiopia alizojenga hawakuwa na consultant ?

Wewe ulitaka design iweje ? Je ulipeleka hata sample ya design iliyo bora zaidi ya hiyo au ulikosoa kwa njia gani ? Ya mdomo au maandishi ?

Wewe umejuaje kama vituo vilivyojengwa Ethiopia ni taka taka ? Maana haya mambo ya kielimu yanatakiwa yaende kielimu.
 
Kama picha zinaonesha vituo vitakavyokuwa kusema kweli siyo vizuri. Concept inaonekana kama labda ni majengo ya viwanda. Ingebidi kuwe na architectural touch.

Inawezekana ni kwa sababu labda ya kupunguza gharama kama mradi ni Design and build.

Mleta mada amefanya vizuri, mradi ni wa umma, kama kuna kitu wadau wanaweza kutoa maoni kama hivi ni vizuri maana wahusika wanaweza kuona na kerekebisha
 
nasubir kuona hicho.kituo kilichofanana na kile kilemba cha bibi yangu kule kijijini.
 
Hasante mkuu hapa watu wananishambulis tu wakati mimi ni mzarendo tu ata ukipitia threads Zungu za zamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…