Kanzastone
JF-Expert Member
- Jan 14, 2021
- 244
- 357
Well said my friend!!!!Mitandao imesaidia!
Ova
Hata Prof. Ndalichako alipendekezwa na JF mwaka 2015 wakati JPM anaunda Serikali yake, watu walimpigia sana chapuo Prof. Ndalichako kuwa awe Waziri wa Elimu kwenye Serikali ya JPM bada ya kuondolewa kwenye nafasi ya Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani kwa njia ya hila.
Kwahiyo tusiidharau mitandao, inasaidia sana.
Asante!!