Hata Prof. Ndalichako alipendekezwa na JF mwaka 2015 wakati JPM anaunda Serikali yake, watu walimpigia sana chapuo Prof. Ndalichako kuwa awe Waziri wa Elimu kwenye Serikali ya JPM bada ya kuondolewa kwenye nafasi ya Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani kwa njia ya hila.
Serikali inayoendeshwa na mitandao Katu kamwe haiwezi anguka au kuwa ya hovyo.Mitandao ndio kioo makini cha serikali makini.
Kiongozi bora ni yule anaesikiliza.Biblia inasema pasipo mashauri taifa litaangamia bali panapo mashauri ndipo uja uponyaji.