Tuliuza Loliondo kwa mwarabu. Tumeuza gesi ya Mtwara kwa wazungu, mabomba yanaelekea Ulaya, by d’r. Slaa. Tumewafukuza wamasai wa Loliondo tukampa mwarabu.
Tumeuza wanyama wetu Dubai sasa huko kuna artificial forest inaitwa Sharjah Safari Park ina kila mnyama mkubwa unayemuona mbugani Serengeti.
Tunauza bandari zote kwa mwarabu, Bagamoyo Port on a pipeline.
Tumekodisha visiwa vya Changuu, Bawe na vingine zaidi ya 10 huko Zanzibar kwa waarabu binafsi.
Tumeuza Mchuchuma na Liganga kwa wageni. Tumeuza Geita Gold Mine, Nyamongo na zingine kwa wazungu.
Kama ziwa Viktoria lisingekuwa linamilikiwa na nchi 3 la lenyewe tungesha libinafsisha kwa ufanisi zaidi.
Nasikia TANESCO nayo iko kwenye pipeline. Almasi na Tanzanite hizo sizitaji.
Tunampango wa ku binafsisha mlima Kilimanjaro na mbuga ya Serengeti ili tuongeze ufanisi.
Tumebakisha nini zaidi, kuiuza nchi na kujiuza wenyewe. By Ndugai.
Natabiri mwaka 2123 mjukuu wa mjukuu wangu atakuta rais mwarabu ni wa Oman na wagombea urais mwaka 2125 watakuwa kati ya mwarabu wa Dubai na mchina, God Forbid.