Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,626
- 18,233
Kama nakumbuka vizuri hata Rais Magufuli aliwahi kushauri kampuni za kiuhandisi Tanzania kwamba ziungane ili ziweze kupewa tenda kubwa za projects - ilionya vile vile kuhusu baadhi ya makampuni ya Kitanzania kukosa uzalendo wa kweli kwa kuendekeza mambo ya wizi na undanganyifu.