Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,626
- 18,233
Wewe labda huna akili,kwa taarifa yako makampuni yote ya ujenzi ya kigeni yanatumia wataalamu na wahandisi wa Tanzania.
Wageni wanakuwa kwenye managerial level tuu kwa kuwa kampuni ni zao
Wasomi wapo, tena wengi sana. Tatizo ni siasa zetu! Jamani tusipolitatua hilo tutaishia kulia lia tu.Hakuna msomi Tanzania
Bali kuna watafuna Madaftari na watafuta Shoo za uzeeni
Ukweli ni kwamba, katika tenda kampuni ya kiafrika kama mazoea yetu ya 10% kwa wakubwa, hivyo gharama ya kampuni ya kiafrika itakuwa mara 3 ya hiyo ya kichina. Na mbaya zaidi bado haitaisha kwa muda uliopangwa.
Tatizo ni siasa, siasa siasaaaaa!
Wanapenda aina ya utawala wa China, wa kiimla, kidikteta......Sjawahi elewa kwa nn maccm wanakumbatia michina
Sasa niletee mfano wa kampuni iliyofanikiwa ikiwa inaongozwa na wabongo kwenye managerial levelWewe labda huna akili,kwa taarifa yako makampuni yote ya ujenzi ya kigeni yanatumia wataalamu na wahandisi wa Tanzania.
Wageni wanakuwa kwenye managerial level tuu kwa kuwa kampuni ni zao
Wewe unayokampuni iliyonyimwa tenda na inavigezo au umezaliwa kukosoa na kupinga kila kitu?Kwa hiyo unaona sawa kabisa hizo pesa ziende China? Mindset zenu lol
Na zikilipwa pesa zinaenda nje au zinabaki ndani? Hao wahandisi wetu wa ndani mbona ndio wasifanye mobilization wa rise mtaji waanzishe kampuni za ndani zenye uwezo sambamba na hizo za nje ili tuwapatie kazi?Wewe labda huna akili,kwa taarifa yako makampuni yote ya ujenzi ya kigeni yanatumia wataalamu na wahandisi wa Tanzania.
Wageni wanakuwa kwenye managerial level tuu kwa kuwa kampuni ni zao
Mbwa kabisa serikali imkopeshe mtu ambate halipi madeni?Kwa nini usiende mbali kidogo ufanye critical thinking mleta mada hii kaongekea Kwa upana kabisa pamoja sustainability ya hao wanaoajiriwa wangekuwa chini ya kampuni za Tanzania, faida, technology endelevu etc etc
anyway CCM ndiyo mlivyo, IQ ya kuku
wachina kwenye 10% sio wabishi wanajua kula na watu mikandarasi ya kibongo njaa sana, janjajanja na ujuaji unawaangusha..Hapo ndio utaelewa maana ya kuwa na viongozi wasio na akili
Mfano mdogo ni mradi wa TSCP au Tanzania strategic cities pale mbeya barabara za km 10 wakampa Mchina hivi tunavyoongea barabara zinamashimo Kila siku kurepair na Zina chini ya miaka 5 wakati kwa Mji wa Sumbawanga kwa mfano barabara za hivyo zimejengwa na mkandarasi mzalendo tena wa huku huku lakini ziko powa na maisha yanaenda
Unajiuliza hiyo michina mnaipendea nini?
Kama ni vifaa na mitaji serikali ingeweza wawezesha wazawa na pesa ingezunhuka ndani ya nchi na kuleta tija