christeve88
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 2,841
- 4,531
Haaahaaa mkuu umeamua kumshikia kama mwewe haahaaMleta mada hebu nielimishe, kama Yanga kapata pointi10 huko shirikisho kwa mwaka huu, je, Simba katengeneza point ngapi mwaka huu, huko kwenye Champions league? Tuelimishane tu...
Scars OKW BOBAN SUNZU
Achaa tyuuh.Basi ntakua siangalii
Mwanaume ni YangaHakuna kitu kinaitwa top 18. Top ni 10 tuu au imezidi sana top 12. Halafu hizo kumi mbona hesabu ake haziji? Kwani tukizitoa hizo 10 bado tz itapeleka timu 4. Msituchoshe mwqnaume amelibeba taifa mabegani mwake.
Hii ndio tofauti tuliyokuwa tukiwaambia nyie wavimba macho lakini bado mkawa mnavimbisha shingo.Yanga kwa msimu huu kaingiza point 10 hadi sasa
Simba kwa msimu huu kaingiza point 15 hadi sasa
Kadiri mnavyopanua, ni kadiri watu wanatamani.Kongolee Simba tunaendelea kuwafungulia milango