Tanzania imepaa hadi namba saba viwango CAF!

Tanzania imepaa hadi namba saba viwango CAF!

Nawaza, ingekuwa vipi levels alizonazo Mnyama currently, zingefikiwa na utopwinyo!!?
Wangeshiriki vikao vyote vya bunge, milo yote wangekula magogoni, hovyo kabisa hili litimu
Wananchi hawawezi kuwa na hizo nambo
 
Bora na wenyewe waisaidie simba maana walikuwa wanaipa simba kazi kubwa kuongeza point kila msimu peke yao [emoji106] big up
 
Hakuna kitu kinaitwa top 18. Top ni 10 tuu au imezidi sana top 12. Halafu hizo kumi mbona hesabu ake haziji? Kwani tukizitoa hizo 10 bado tz itapeleka timu 4. Msituchoshe mwqnaume amelibeba taifa mabegani mwake.
 
Mwanaume ni Yanga
 
Yanga kwa msimu huu kaingiza point 10 hadi sasa
Simba kwa msimu huu kaingiza point 15 hadi sasa
Hii ndio tofauti tuliyokuwa tukiwaambia nyie wavimba macho lakini bado mkawa mnavimbisha shingo.
 
Back
Top Bottom