Sijijui
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 7,877
- 8,812
asante mkuu ila pamoja na akili zangu ndogo mie siyo mpumbavu kama weweTunamtaka zito ajibu, sio wewe mwenye akili ndogo.
asante mkuu ila pamoja na akili zangu ndogo mie siyo mpumbavu kama weweTunamtaka zito ajibu, sio wewe mwenye akili ndogo.
Bila uwazi rushwa haiakaa kuja kumalizika. Lazima ifike mahala kuwe na namna ya kuwa accountable kwenye interest za public
Shida ya Zitto hawezi kurudi kujibu
Hii ni ishara ya mpotoshaji.
Kukiwa na mazuri yanayofanyika mabaya hayasemwi?Mmi namshauri zito siki zingine nae tunataka tuone kaja na uzi wenye faida, kwamba jambo flani limefanyika na lina faida kwa inchi ndi uzalendo wake utakuwa sawa, ila kama kila siku anatafuta ubaya tu kwani hakuna hata zuri lililofanyika?
Ninachojua makinikia bado yapo, labda aseme kama nayo yameoza kwa hiyo hayana thamani ndo tutajua kuna hasara.
Lakini kama yapo yakiuzwa hiyo pesa kwa miaka yote hiyo itajifidia na kuwa na faida kubwa zaidi.
Kama ungetumia akili kidogo ungeweza kujua kwamba sio lazima mabadiliko yale athari hasi.Ambacho huelewi nini kwa mfano?!. Zitto wakati anatoa povu kuhusu sekita ya Madini alichokuwa anataka si mabadiliko!? Kama ni mabadiliko unadhani yangeweza kufanyika bila kuleta athari yoyote kwenye shughuli za Madini!? It is obvious alikuwa anajua hilo, sasa anapoleta tena huu upuuzi hapa sisi tumueleweje.
Yaani huyu ni sawa na mtoto anamlilia mzazi ampeleke shule, halafu mzazi anauza shamba ili ampeleke shule, halafu huyo huyo mtoto anarudi kumlaumu mzazi eti kwanini ameuza shamba.
Tunazungumzia Changes kwenye Mining Industry siyo ya wewe kuacha kula Chips na kula dona. Zitto ameanza kutoa povu juu ya hili since 2008 na alimuwepo kiongozi na he didi nothing pamoja na ukweli kuwa it was obvious kulikuwa na uhovyo.Kama ungetumia akili kidogo ungeweza kujua kwamba sio lazima mabadiliko yale athari hasi.
Hebu acha upuuzi aisee.Hili ni jukwaa la majadiliano kwa maslahi ya nchi yetu; siyo mipasho, kejeli au matusi. Dawa ya mpotoshaji ni kuchambua hoja yake na kumpa facts and correct figures.
Magu ni mhujumu uchumi period.Nchi imepoteza mno kwenye sakata la Makanikia [ Fedha za kigeni $200M na TZS 430B Mapato ya Serikali]
- mwaka 2016 Tanzania iliuza nje dhahabu iliyoingiza USD 1.8 bilioni
- Mwaka wa Makanikia 2017 mauzo nje yalishuka mpaka USD 1.6 bilioni na;
- Mwaka 2018, mwaka ambao athari ya Makanikia ilikuwa mwaka mzima mauzo nje yalikuwa USD 1.4 bilioni
Kati ya mwaka 2017-2018 Mauzo nje ya dhahabu yalishuka kwa jumla ya $200M saw na 11%.
Katika kipindi hicho uzalishaji wa dhahabu ulishuka kutoka tani 43 za dhahabu mwaka 2015 mpaka tani 39 mwaka 2018. Uzalishaji wa mwaka 2018 ulikuwa sawa na uzalishaji wa mwaka 2010.
Mapato ya Serikali kutoka sekta ya Madini yameshuka katika kipindi cha Makanikia. Kwa mujibu wa Kitabu cha Mapato ya Serikali kwa Wabunge ( Revenues Book Vol. 1 ).
Serikali imekadiria kukusanya TZS 350 bilioni mwaka 2019/2020.
- mwaka 2016/17 makusanyo ya mirahaba yalikuwa TZS 341 bilioni
- Mwaka 2017/18 makusanyo ya mirahaba yalikuwa TZS 230 bilioni
- Mwaka 2018/19 makusanyo yalikuwa TZS 220 bilioni.
Kwa mujibu wa Dkt. Genuine Martin kwenye mada yake kwa Policy Forum Breakfast Debate Julai, 2019 Mapato yote ya sekta ya Madini yameshuka kwa 32% katika zama za Makanikia.
Katika Miaka 2 Mapato ya Serikali kutoka sekta ya Madini yameshuka kwa TZS 430 bilioni.
- mwaka 2016 Mapato yalikuwa TZS 1.3 trilioni
- Mwaka 2018 Mapato yalikuwa TZS 867 bilioni.
Tunapata nini kutoka Barrick Gold baada ya sakata la Makanikia?
Mapato ambayo Serikali ya Magufuli imepoteza kwenye sekta ya Madini kati ya mwaka 2017 - 2019 ni makubwa zaidi ya malipo* ambayo Serikali inasema tutalipwa na Barrick Gold Corporation ili kumaliza mgogoro baina ya Kampuni ya Acacia na Serikali.
Tumeona hapo juu kuwa tumepoteza Mapato ya Fedha za kigeni $200M na Mapato ya Serikali kushuka kwa TZS 430 bilioni. Kutoka Barrick tunatarajiwa kupata $300M ambazo chache kulinganisha na kiasi tulichopeteza.
* Malipo yenyewe hayo ya $300M kwanza yatalipwa kwa miaka 7, pili yana masharti ya wao kulipwa kwanza Fedha zao za VAT ( $240M ), na tatu watasamehewa Kodi ya Capital Gains Tax ya mauzo ya hisa za Acacia kwa Barrick Gold ($85.6M). Hatimaye Tanzania ndio itakuwa imeilipa Barrick $25M ( Net of payments and receipts to and from Barrick Gold ).
Kwa hiyo Tanzania imepoteza Mapato iliyokuwa yakusanywe kama mgogoro usingekuwepo [ $200M exports revenues and $170M tax revenues ] na imeishia kuilipa Barrick badala ya yenyewe kulipwa.
Tumepata hasara kubwa sana kutokana na maamuzi yetu wenyewe, maamuzi ambayo hayakuzingatia maslahi ya nchi yetu. Tunapaswa kuwawajibisha waliotupa hasara hiyo.
Amesha chagua kukaa upande flan ,so anaamua tu kujibu kama anavyo jisikia.Sasa Mtu anasema tufanikiwe au tusifanikiwe kwake yeye sio Hoja ila pongezi ni kuwa Mh Rais amejaribu walau..Utamuelewaje Mtu mwenye fikra hizo Mkuu ?
Hayo ni maomi yako wewe. Yeye Kama kiongozi aliyekabidhiwa dhamana amejaribu kufanya kile alichoona ni sawa. Halafu unatoaje hitimisho kuwa Kuna hasara wakati hata majadiliani bado hayajamalizika. Subrini mazunguzo yaishe yawekwe into effects halafu njooni mtoe Conclussion Kama Kuna faida au hasara. Acheni Ushehe Yahya.
Soma comment zangu zote hakuna sehemu nimesema Kuna faida na nimeweka wazi hata kama kilichofanya a hakitaleta matunda to me it is okey so long amejaribu his best kurekebisha kile ambacho wenzake hata hawakuthubutu kugusa.Sasa na we umeonaje kuna faidi wakat makubaliano bado we sasa ndo mchawi mwenyewe sasa ila kuna watu wako juu ya mawe na maisha kwao magumu na wengine mitaji yao imekufa kwenye issue hii hadi leo akieleweki ila we kwasababu ni mpiga vigelegele ulioni hili unasubiri hasara ya jumla
Ni sawa na kusema ukiweka sehemu fulani ya mapato yako kwenye savings account umepata hasara.
Au kusema inventory which the business holds should be classified as loss kwa mujibu wa mleta hoja.
Makanikio yako pale pale if anything mzozo ukiisha bei ya dhahabu imepanda kutoka $1200 mwaka 2017 kufikia $1400 2019 na bado bei inatarajiwa kupanda.
View attachment 1163209
Ina maana yale makanikia yaliyozuiwa leo yanathamani zaidi sokoni na yatarudisha hela nyingi zaidi + hela za kodi + economic benefit ambazo serikari ilikuwa aizipati.
Sasa hapo serikari imepoteza mapato kivipi. Sio kila kitu kupinga tu.
Serikari aifanyi biashara ya intermediaries kwenye kununua nakuuza madini mpaka isubiri ya pande au kushuka bei sokoni. Wao kama wazalishaji mara nyingi tu inajikuta kwenye favourable au infavourable position kutokana na mazingira ya soko.Mkuu figure inapanda na kushuka ikifika siku ya kuuzwa figure ikashuka hadi 1000 itakuaje tutasubiri yapande tena naomba darasa mi sio mchumi mbobevu
Ndo tatizo lenu hilo! Hamsomi, na hata mkisoma, hamuelewi!Alichosema Zitto Kabwe ni hiki:-Ni kweli maana kwenye taarifa ya juzi alisema Tanzania tayari imesaini makubaliano na nyie Misukule yake mkaja hapa kumshangilia, hadi pale alipoelezwa kwa fact kuwa amepotosha hakuna mkataba wowote uliosainiwa.
Abazungumzia MAKUBALIANO kati ya Serikali na Barrick na hakuna popote aliposema kusaini makubaliano. Na hata Ripoti, generally inazungumza kuhusu makubaliano! Ripoti inaanza hivi:-MAKUBALIANO YA SERIKALI NA BARRICK GOLD CHANGA LA MACHO
Ripoti hiyo hapo inathibitisha suala la kufikia makubaliano kama alivyosema Zitto!!! Kama serikali haijafikia hayo makubaliano, weka hapa taarifa ya serikali kukanusha madai hayo ya Acacia!!The Boards of Barrick Gold Corporation (“Barrick”) and Acacia Mining plc (“Acacia”) are pleased to announce that they have reached agreement on the terms of a recommended offer by Barrick for the ordinary share capital of Acacia that Barrick does not already own.
What's "initialled"?! Soma hapa:-Kiambatanisho namba 4 kimeweka muhtasari wa kinachoitwa ‘Material Terms’ katika Makubaliano ya awali kati ya Serikali ya Tanzania na Kampuni ya Barrick Gold ambayo yamesainiwa (INITIALED) mwezi Mei mwaka huu. Kimsingi Barrick imelazimishwa na kanuni za masoko ya mitaji kuweka wazi makubaliano hayo. Ni masikitiko makubwa kuwa Serikali yetu haijathubutu hata kuliambia Bunge kuwa kuna makubaliano ya namna hiyo wakati wa Bunge la Bajeti, imesaini kwa siri kama ulivyosainiwa mkataba wa Buzwagi.
Again, weka hapa taarifa ya serikali inayokanusha wao kusaini hayo makubaliano ya awali!!Appendix 4: Summary of the material terms of the current draft documentation under discussion
(but not yet finalised) with the GoTThe discussions between Barrick and the GoT have advanced to the point where draft documentation was initialled by the GoT on 19 May 2019,
And still unamwita tapeli wakati hufahamu hata uhalali wa takwimu zake!!Hakuna sehemu mimi nimepinga data zake and I don't want to know Kama ni za kweli au laa.
Ni kipi kilichofanyika?! Mwanzao wa sakata lote hili ni usafirishaji wa makinikia, kwamba, Acacia wanatuabia kutokana na usafirishaji wa makinikia nje ya nje! Makubaliano yanasema:-Concern yangu ni kama mpampanaji na wa muda mrefu juu ya uhovyo wa sekita ya Madini na ambaye siku zote alitaka intervention ya serikali kwenye uhovyo huo na akiwa Mchumi alipsawa kujua kuwa intervention hiyo ingekuja na athari hasi kwa sekita ya Madini.Hivyo hakupaswa kuja tena hapa kuleta povu wakati alichokipigania kwa muda mrefu kimefanyika.
Ushaambiwa hapo kwamba moja ya makubaliano ni kwamba TMC itakuwa na UNFETTERED Right kusafirisha makinikia! Unfettered Right ni haki ambayo mtu anakuwa nayo kufanya jambo fulani bila kuingiliwa na yeyote!!...the TMCs will have the unfettered right to export minerals (including doré and concentrates) until refining (in the case of doré) and smelting (in the case of concentrates) are available in Tanzania and the GoT will provide
assistance so all required authorisations and/or waivers be granted to theTMCs so as to facilitate export of doré and concentrates;
Na ndo maana Magimbi alikushauri:A little bit about Kabwe, huyu ni tapeli wa kisiasa ambaye wakati wa Kikwete alitumia muda mwingi kutafuta taarifa dhidi ya viongozi wa Serikali na wawekezaji hasa pale palipokuwa na upigaji na alitumia taarifa hizo kuwa blackmail watu hao ili wamuhonge ili asiwashambulie. So that is the way alivyokuwa anapiga mtonyo during Kikwete administaration. This time hizo information hana, anabaki anaokoteza okoteza, na kwakuwa kwake siasa ni biashara, na kwakuwa sasa hana hizo apportunitiea ndio maana ameamua kuwa Kuwadi.So long Accacia wamemuweka kwenye payroll he doesn't care kama huko nyuma alikuwa Against them.
Mkuu Kajekudya, badala ya kufanya personal attacks, pambana na hoja za Zitto kwa facts!Hata mimi namshangaaga huyu jamaa (Zitto)..ila kitu kimoja tunachofanana mimi na WEWE ni kwamba tunakosa FACTS za kujibu the so called LIES zake na hatimaye tunabakia kumshambulia na kumtuhumu ni KIBARAKA. Naomba tujitahidi kucounter facts zake ili tumuweke sawa aache the so called political stunts. Nakuomba saana nisaidie kutafuta facts tumuumbue la sivyo JF watatushambulia kwa PERSONALTY ATTACK and not FACTS.
Tafadhalii.
Makinikia bado hayajauzwa, yakiuzwa mapato yataongezeka, worry not.
I'd yako nyingine hii Boss. Mkuu kasome bandiko lake hadi mwisho uone kama hakuna Conclussion kuwa Magufuli na Kabudi wameuza Inchi kwa kipande Cha Dhahabu na akasuggest wachukuliwe hatua. Hiyo conclusion kama umefika angalau hata Standard 7 alimanisha nini!?Ndo tatizo lenu hilo! Hamsomi, na hata mkisoma, hamuelewi!Alichosema Zitto Kabwe ni hiki:-Abazungumzia MAKUBALIANO kati ya Serikali na Barrick na hakuna popote aliposema kusaini makubaliano. Na hata Ripoti, generally inazungumza kuhusu makubaliano! Ripoti inaanza hivi:-Ripoti hiyo hapo inathibitisha suala la kufikia makubaliano kama alivyosema Zitto!!! Kama serikali haijafikia hayo makubaliano, weka hapa taarifa ya serikali kukanusha madai hayo ya Acacia!!
Sehemu ambayo Zitto amesema suala al serikali KUSAINI, ni kuhusu Appendix 4, Material Terms, na hivi ndivyo Zitto amesema: What's "initialled"?! Soma hapa:-
Unaona hapo juu Zitto amesema "makubaliano ya awali!" Na maelezo hayo Zitto hakuyatoa kichwani, sehemu ya hayo makunaliano, Apendix 4 aliyoisema Zitto, hivi ndivyo inasema:-
Again, weka hapa taarifa ya serikali inayokanusha wao kusaini hayo makubaliano ya awali!!
Kwa maelezo hayo hapo juu, basi bila shaka ushafahamu ni nani misukule kati yetu na nyie!!
And still unamwita tapeli wakati hufahamu hata uhalali wa takwimu zake!!
Ni kipi kilichofanyika?! Mwanzao wa sakata lote hili ni usafirishaji wa makinikia, kwamba, Acacia wanatuabia kutokana na usafirishaji wa makinikia nje ya nje! Makubaliano yanasema:-Ushaambiwa hapo kwamba moja ya makubaliano ni kwamba TMC itakuwa na UNFETTERED Right kusafirisha makinikia! Unfettered Right ni haki ambayo mtu anakuwa nayo kufanya jambo fulani bila kuingiliwa na yeyote!!
Sasa kama hali yenyewe ndo hiyo, hicho unachosema "alichokipiginia muda mrefu kimefanyika"! Sasa kimefanyika nini hapo ikiwa bado mwizi yule yule bado atapewa unfettered right kusafirisha makinikia nje?! Unaweza kuweka hapa sehemu ya makubaliano, ama iwe kwa mujibu wa serikali au kwa mujibu wa Barrick ambayo inaeleza zile USD 190 zitalipwa lipwa vipi?! Au tuachane na hizo USD 190Billion! Unaweza kueleza hapa zile USD 40 Billion zinalipwa lipwa vipi ili tuamini kwamba hicho kilichokuwa kinapiganiwa tayari serikali ya Magufuli imeshakipata!! Na ndo maana Magimbi alikushauri:
Mkuu Kajekudya, badala ya kufanya personal attacks, pambana na hoja za Zitto kwa facts!
Nadhani ulitaka kumaanisha USD 190 Billion ambazo ni zaidi ya Shilingi Trillion 430! Na kama ulikusudia kusema Billion 970, basi hizo zisikushangaze bali shangazwa na haya madai ya USD 190 Billion ambazo, sio tu zinazidi hata mali za uwekezaji wenyewe, bali ni zaidi ya mara 5 ya Makert Cap sio ya Acacia, bali ya Barrick Gold ambayo ndani yake kuna kampuni zaidi ya 5 including Acacia!!Aliyeleta madai ya hizo bilioni 970 anastahili kuangaliwa kama yuko sawa sawa. Alitumia reference gani? Anajua nini kuhusu kodi? Maana anadai kuliko hata mali za uwekezaji wenyewe. How does it work?