Ndo tatizo lenu hilo! Hamsomi, na hata mkisoma, hamuelewi!Alichosema Zitto Kabwe ni hiki:-Abazungumzia MAKUBALIANO kati ya Serikali na Barrick na hakuna popote aliposema kusaini makubaliano. Na hata Ripoti, generally inazungumza kuhusu makubaliano! Ripoti inaanza hivi:-Ripoti hiyo hapo inathibitisha suala la kufikia makubaliano kama alivyosema Zitto!!! Kama serikali haijafikia hayo makubaliano, weka hapa taarifa ya serikali kukanusha madai hayo ya Acacia!!
Sehemu ambayo Zitto amesema suala al serikali KUSAINI, ni kuhusu Appendix 4, Material Terms, na hivi ndivyo Zitto amesema: What's "initialled"?! Soma hapa:-
Unaona hapo juu Zitto amesema "makubaliano ya awali!" Na maelezo hayo Zitto hakuyatoa kichwani, sehemu ya hayo makunaliano, Apendix 4 aliyoisema Zitto, hivi ndivyo inasema:-
Again, weka hapa taarifa ya serikali inayokanusha wao kusaini hayo makubaliano ya awali!!
Kwa maelezo hayo hapo juu, basi bila shaka ushafahamu ni nani misukule kati yetu na nyie!!
And still unamwita tapeli wakati hufahamu hata uhalali wa takwimu zake!!
Ni kipi kilichofanyika?! Mwanzao wa sakata lote hili ni usafirishaji wa makinikia, kwamba, Acacia wanatuabia kutokana na usafirishaji wa makinikia nje ya nje! Makubaliano yanasema:-Ushaambiwa hapo kwamba moja ya makubaliano ni kwamba TMC itakuwa na UNFETTERED Right kusafirisha makinikia! Unfettered Right ni haki ambayo mtu anakuwa nayo kufanya jambo fulani bila kuingiliwa na yeyote!!
Sasa kama hali yenyewe ndo hiyo, hicho unachosema "alichokipiginia muda mrefu kimefanyika"! Sasa kimefanyika nini hapo ikiwa bado mwizi yule yule bado atapewa unfettered right kusafirisha makinikia nje?! Unaweza kuweka hapa sehemu ya makubaliano, ama iwe kwa mujibu wa serikali au kwa mujibu wa Barrick ambayo inaeleza zile USD 190 zitalipwa lipwa vipi?! Au tuachane na hizo USD 190Billion! Unaweza kueleza hapa zile USD 40 Billion zinalipwa lipwa vipi ili tuamini kwamba hicho kilichokuwa kinapiganiwa tayari serikali ya Magufuli imeshakipata!! Na ndo maana Magimbi alikushauri:
Mkuu Kajekudya, badala ya kufanya personal attacks, pambana na hoja za Zitto kwa facts!