Tanzania imepoteza $370M miaka ya Makanikia

Bila uwazi rushwa haiakaa kuja kumalizika. Lazima ifike mahala kuwe na namna ya kuwa accountable kwenye interest za public

Uimara wa Nyumba ni Msingi ,ule mchakato wa kupata Katiba mpya inayo tokana na Wananchi uliona namna ilivyo tumika Nguvu nyingi kuukwamisha.Mikataba kama hii imekuwa ni Siri ,wenye Mali wakihoji wana bandikwa Majina mabaya ilimuradi tu kuhalalisha kilicho pindishwa.
 
Kukiwa na mazuri yanayofanyika mabaya hayasemwi?
Kwanza si kazi ya zito kutangaza mazuri ya serikali, hiyo ni kazi ya serikali yenyewe na inaifanya kwa nguvu zote kupitia TBCCM na chanel ten. Inafanya hivyo pia kupitia ziara ambazo hazijulikani ipi ya chama ipi ya kiserikali. Waswahili wanasema "kizuri chajiuza kibaya chajitembeza". Kama bado hujaona maziri hadi unataka zito atangaze mazuri ya serikali ujue unayemsifu unafanya hivyo either mkono uende kinywani au ni mahaba tu yasio na msingi wowote
 
Kama ungetumia akili kidogo ungeweza kujua kwamba sio lazima mabadiliko yale athari hasi.
 
Kama ungetumia akili kidogo ungeweza kujua kwamba sio lazima mabadiliko yale athari hasi.
Tunazungumzia Changes kwenye Mining Industry siyo ya wewe kuacha kula Chips na kula dona. Zitto ameanza kutoa povu juu ya hili since 2008 na alimuwepo kiongozi na he didi nothing pamoja na ukweli kuwa it was obvious kulikuwa na uhovyo.
If you clever enough unaweza kuona how it was difficult to crack these dudes.
 
Magu ni mhujumu uchumi period.
 
Amesha chagua kukaa upande flan ,so anaamua tu kujibu kama anavyo jisikia.Sasa Mtu anasema tufanikiwe au tusifanikiwe kwake yeye sio Hoja ila pongezi ni kuwa Mh Rais amejaribu walau..Utamuelewaje Mtu mwenye fikra hizo Mkuu ?

Kwel amechagua upande kuna watu wao ujiona wanauchungu sana na hii nchi lkn jamaa ameuza nyumba za serikali kwa hela ubwabwa na uwapa mahawara zake nyumba lkn leo wameshika madaraka wamekua malaika nadhani siku akitoka madarakani tutajua mengi juu ya huu utawala
 

Sasa na we umeonaje kuna faidi wakat makubaliano bado we sasa ndo mchawi mwenyewe sasa ila kuna watu wako juu ya mawe na maisha kwao magumu na wengine mitaji yao imekufa kwenye issue hii hadi leo akieleweki ila we kwasababu ni mpiga vigelegele ulioni hili unasubiri hasara ya jumla
 
Soma comment zangu zote hakuna sehemu nimesema Kuna faida na nimeweka wazi hata kama kilichofanya a hakitaleta matunda to me it is okey so long amejaribu his best kurekebisha kile ambacho wenzake hata hawakuthubutu kugusa.
 

Mkuu figure inapanda na kushuka ikifika siku ya kuuzwa figure ikashuka hadi 1000 itakuaje tutasubiri yapande tena naomba darasa mi sio mchumi mbobevu
 
Mapato yamepungua lakini madini yamebaki, wajukuu zetu nao watayafaidi, tusiwe wabinafsi kiasi hicho.
 
Mkuu figure inapanda na kushuka ikifika siku ya kuuzwa figure ikashuka hadi 1000 itakuaje tutasubiri yapande tena naomba darasa mi sio mchumi mbobevu
Serikari aifanyi biashara ya intermediaries kwenye kununua nakuuza madini mpaka isubiri ya pande au kushuka bei sokoni. Wao kama wazalishaji mara nyingi tu inajikuta kwenye favourable au infavourable position kutokana na mazingira ya soko.

Isitoshe hoja yangu ilijikita kwenye gold as an inventory (current asset) it’s a liquidity which can easily be turned into cash kwa demand ya leo. Na uwezi kusema asset kama hiyo imeleta hasara kwa kushikiliwa if anything imeongezeka value kutokana na bei ya soko iliyopo.

Hakuna sehemu niliyosema serikari ilishikilia kwa sababu ya kusubiri bei kupanda.

Swali lako alihusiani na hoja yangu ya msingi na wala mada husika; hiyo ni topic nyingine which I will be very happy to explain what influence commodity prices in the market should you wish to learn more.
 
Ni kweli maana kwenye taarifa ya juzi alisema Tanzania tayari imesaini makubaliano na nyie Misukule yake mkaja hapa kumshangilia, hadi pale alipoelezwa kwa fact kuwa amepotosha hakuna mkataba wowote uliosainiwa.
Ndo tatizo lenu hilo! Hamsomi, na hata mkisoma, hamuelewi!Alichosema Zitto Kabwe ni hiki:-
MAKUBALIANO YA SERIKALI NA BARRICK GOLD CHANGA LA MACHO
Abazungumzia MAKUBALIANO kati ya Serikali na Barrick na hakuna popote aliposema kusaini makubaliano. Na hata Ripoti, generally inazungumza kuhusu makubaliano! Ripoti inaanza hivi:- Ripoti hiyo hapo inathibitisha suala la kufikia makubaliano kama alivyosema Zitto!!! Kama serikali haijafikia hayo makubaliano, weka hapa taarifa ya serikali kukanusha madai hayo ya Acacia!!

Sehemu ambayo Zitto amesema suala al serikali KUSAINI, ni kuhusu Appendix 4, Material Terms, na hivi ndivyo Zitto amesema: What's "initialled"?! Soma hapa:-

​
Unaona hapo juu Zitto amesema "makubaliano ya awali!" Na maelezo hayo Zitto hakuyatoa kichwani, sehemu ya hayo makunaliano, Apendix 4 aliyoisema Zitto, hivi ndivyo inasema:-
Again, weka hapa taarifa ya serikali inayokanusha wao kusaini hayo makubaliano ya awali!!

Kwa maelezo hayo hapo juu, basi bila shaka ushafahamu ni nani misukule kati yetu na nyie!!
Hakuna sehemu mimi nimepinga data zake and I don't want to know Kama ni za kweli au laa.
And still unamwita tapeli wakati hufahamu hata uhalali wa takwimu zake!!
Ni kipi kilichofanyika?! Mwanzao wa sakata lote hili ni usafirishaji wa makinikia, kwamba, Acacia wanatuabia kutokana na usafirishaji wa makinikia nje ya nje! Makubaliano yanasema:- Ushaambiwa hapo kwamba moja ya makubaliano ni kwamba TMC itakuwa na UNFETTERED Right kusafirisha makinikia! Unfettered Right ni haki ambayo mtu anakuwa nayo kufanya jambo fulani bila kuingiliwa na yeyote!!

Sasa kama hali yenyewe ndo hiyo, hicho unachosema "alichokipiginia muda mrefu kimefanyika"! Sasa kimefanyika nini hapo ikiwa bado mwizi yule yule bado atapewa unfettered right kusafirisha makinikia nje?! Unaweza kuweka hapa sehemu ya makubaliano, ama iwe kwa mujibu wa serikali au kwa mujibu wa Barrick ambayo inaeleza zile USD 190 zitalipwa lipwa vipi?! Au tuachane na hizo USD 190Billion! Unaweza kueleza hapa zile USD 40 Billion zinalipwa lipwa vipi ili tuamini kwamba hicho kilichokuwa kinapiganiwa tayari serikali ya Magufuli imeshakipata!! Na ndo maana Magimbi alikushauri:
Mkuu Kajekudya, badala ya kufanya personal attacks, pambana na hoja za Zitto kwa facts!
 
I'd yako nyingine hii Boss. Mkuu kasome bandiko lake hadi mwisho uone kama hakuna Conclussion kuwa Magufuli na Kabudi wameuza Inchi kwa kipande Cha Dhahabu na akasuggest wachukuliwe hatua. Hiyo conclusion kama umefika angalau hata Standard 7 alimanisha nini!?
 
Aliyeleta madai ya hizo bilioni 970 anastahili kuangaliwa kama yuko sawa sawa. Alitumia reference gani? Anajua nini kuhusu kodi? Maana anadai kuliko hata mali za uwekezaji wenyewe. How does it work?
Nadhani ulitaka kumaanisha USD 190 Billion ambazo ni zaidi ya Shilingi Trillion 430! Na kama ulikusudia kusema Billion 970, basi hizo zisikushangaze bali shangazwa na haya madai ya USD 190 Billion ambazo, sio tu zinazidi hata mali za uwekezaji wenyewe, bali ni zaidi ya mara 5 ya Makert Cap sio ya Acacia, bali ya Barrick Gold ambayo ndani yake kuna kampuni zaidi ya 5 including Acacia!!
 
Zitto una laana na laana yentewe umeipata kutokana na kujionyesha unapambana for National Interest lkn kumbe unapambana kwa ajili ya umaarufu wako binafsi, tunaokujua na undumilakuwili wako uliokuwa ukifanya wewe na Deo marehem kwenye mashirika ya Umma hutatusumbua kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…