Upumbavu tu ndo unamfanya asifu na kuabuduKukiwa na mazuri yanayofanyika mabaya hayasemwi?
Kwanza si kazi ya zito kutangaza mazuri ya serikali, hiyo ni kazi ya serikali yenyewe na inaifanya kwa nguvu zote kupitia TBCCM na chanel ten. Inafanya hivyo pia kupitia ziara ambazo hazijulikani ipi ya chama ipi ya kiserikali. Waswahili wanasema "kizuri chajiuza kibaya chajitembeza". Kama bado hujaona maziri hadi unataka zito atangaze mazuri ya serikali ujue unayemsifu unafanya hivyo either mkono uende kinywani au ni mahaba tu yasio na msingi wowote
Acha chama Jimbo nii majanga matupuZitto haya mambo huwezi kuelewa na si kila jambo ni propaganda. Wewe Chama umekitelekeza bila kuzingatia maslahi ya wengine huwezi kuengelea ''transactions'' kubwa.
Mkuu, nimeishia darasa la nne, lakini mimi sio kipofu kama wewe!! Tuache porojo, nimekuambia niwekee hapa makubaliano ya namna gani USD 40 Billion zitalipwa let alone USD 190 Billion!! Btw, ID nyingine badaa ya ipi?!I'd yako nyingine hii Boss. Mkuu kasome bandiko lake hadi mwisho uone kama hakuna Conclussion kuwa Magufuli na Kabudi wameuza Inchi kwa kipande Cha Dhahabu na akasuggest wachukuliwe hatua. Hiyo conclusion kama umefika angalau hata Standard 7 alimanisha nini!?
Kinyume chake, Palamaganda Kabudi anasema 50/50 kwamba:-The GoT will receive its share of economic benefits through taxes, royalties, fees and other fiscal levies and through the GoT’s 16% free carried interest in all distributions (including shareholder loan repayments) from the TMCs and a new Tanzanian management company.
Source: The Daily News.“We’ll be paid 50 per cent after the company has paid 30 per cent income tax, 6 per cent royalties, road and fuel levies, council levies and other social services. In Dominica, Argentina and Saudi Arabia where Barrick applies 50-50 per cent, the payments include all taxes and levies
Nimewahi kusema huko nyuma bila kuwa mwanaccm (Mpumbavu)kumuelewa Magu ni ngumu sana,mkuu hawa jamaa waache tu wataelewa Magu alikuwa msanii akitoka madarakaniNdo tatizo lenu hilo! Hamsomi, na hata mkisoma, hamuelewi!Alichosema Zitto Kabwe ni hiki:-Abazungumzia MAKUBALIANO kati ya Serikali na Barrick na hakuna popote aliposema kusaini makubaliano. Na hata Ripoti, generally inazungumza kuhusu makubaliano! Ripoti inaanza hivi:-Ripoti hiyo hapo inathibitisha suala la kufikia makubaliano kama alivyosema Zitto!!! Kama serikali haijafikia hayo makubaliano, weka hapa taarifa ya serikali kukanusha madai hayo ya Acacia!!
Sehemu ambayo Zitto amesema suala al serikali KUSAINI, ni kuhusu Appendix 4, Material Terms, na hivi ndivyo Zitto amesema: What's "initialled"?! Soma hapa:-
Unaona hapo juu Zitto amesema "makubaliano ya awali!" Na maelezo hayo Zitto hakuyatoa kichwani, sehemu ya hayo makunaliano, Apendix 4 aliyoisema Zitto, hivi ndivyo inasema:-
Again, weka hapa taarifa ya serikali inayokanusha wao kusaini hayo makubaliano ya awali!!
Kwa maelezo hayo hapo juu, basi bila shaka ushafahamu ni nani misukule kati yetu na nyie!!
And still unamwita tapeli wakati hufahamu hata uhalali wa takwimu zake!!
Ni kipi kilichofanyika?! Mwanzao wa sakata lote hili ni usafirishaji wa makinikia, kwamba, Acacia wanatuabia kutokana na usafirishaji wa makinikia nje ya nje! Makubaliano yanasema:-Ushaambiwa hapo kwamba moja ya makubaliano ni kwamba TMC itakuwa na UNFETTERED Right kusafirisha makinikia! Unfettered Right ni haki ambayo mtu anakuwa nayo kufanya jambo fulani bila kuingiliwa na yeyote!!
Sasa kama hali yenyewe ndo hiyo, hicho unachosema "alichokipiginia muda mrefu kimefanyika"! Sasa kimefanyika nini hapo ikiwa bado mwizi yule yule bado atapewa unfettered right kusafirisha makinikia nje?! Unaweza kuweka hapa sehemu ya makubaliano, ama iwe kwa mujibu wa serikali au kwa mujibu wa Barrick ambayo inaeleza zile USD 190 zitalipwa lipwa vipi?! Au tuachane na hizo USD 190Billion! Unaweza kueleza hapa zile USD 40 Billion zinalipwa lipwa vipi ili tuamini kwamba hicho kilichokuwa kinapiganiwa tayari serikali ya Magufuli imeshakipata!! Na ndo maana Magimbi alikushauri:
Mkuu Kajekudya, badala ya kufanya personal attacks, pambana na hoja za Zitto kwa facts!
Acha kutujazia server hapa, wewe ndo umeleta habari kuwa Zitto hakusema kuwa Serikali imesaini mkataba, mimi nakwambia alisema wamesaini. Angalia ulichokisema happy juu na huu ugoro uanouleta sasa hivi!Mkuu, nimeishia darasa la nne, lakini mimi sio kipofu kama wewe!! Tuache porojo, nimekuambia niwekee hapa makubaliano ya namna gani USD 40 Billion zitalipwa let alone USD 190 Billion!! Btw, ID nyingine badaa ya ipi?!
Alichomaanisha ni kweli nchi imeuzwa na wanachosema akina Kabudi ni uongo na sio makubaliano halisi! Nikupe mfano mdogo sana! 50/50 Economic Sharing benefits inasema:-Kinyume chake, Palamaganda Kabudi anasema 50/50 kwamba:-Source: The Daily News.
Na kwa msisitizo, Kabudi mwenyewe huyu hapa:-
Haya, niwekee hapa official doc inayozungumzia hayo aliyosema Palamagamba Kabudi ili tujaji kama kweli nchi imeuzwa na Watanzania hatufahamu kwa kuwa tunadaganywa na akina Kabudi kama anavyosema Zitto, au anayoongea Zitto ni utapeli wake tu wa kisiasa!!
Naona umeanza maneno ya maudhi, sidhani kama ungependa kwenda huo upande kwa sababu sie wengine tunaheshimu mtu anayejiheshimu na sio vinginevyo! Jibu nilichokuuliza, kama huna jibu piga kimya kwa sababu mimi nimeshaeleza kuhusu suala la kusaini na suala la kuuza nchi!!Acha kutujazia server hapa, wewe ndo umeleta habari kuwa Zitto hakusema kuwa Serikali imesaini mkataba, mimi nakwambia alisema wamesaini. Angalia ulichokisema happy juu na huu ugoro uanouleta sasa hivi!
Na ajabu ukiwapa facts wanaanza maneno machafu!!Nimewahi kusema huko nyuma bila kuwa mwanaccm (Mpumbavu)kumuelewa Magu ni ngumu sasa,mkuu hawa jamaa waache tu wataelewa Magu alikuwa msanii akitoka madarakani
huwa anakwepa maswali yanayomhusu ila aanapenda sana kuwanyooshea vidole wenzakeUmemsikia Musiba kuhusu Nssf?!
Una lolote la kuwajuza watanzania!
Soma comment zangu zote hakuna sehemu nimesema Kuna faida na nimeweka wazi hata kama kilichofanya a hakitaleta matunda to me it is okey so long amejaribu his best kurekebisha kile ambacho wenzake hata hawakuthubutu kugusa.
Serikari aifanyi biashara ya intermediaries kwenye kununua nakuuza madini mpaka isubiri ya pande au kushuka bei sokoni. Wao kama wazalishaji mara nyingi tu inajikuta kwenye favourable au infavourable position kutokana na mazingira ya soko.
Isitoshe hoja yangu ilijikita kwenye gold as an inventory (current asset) it’s a liquidity which can easily be turned into cash kwa demand ya leo. Na uwezi kusema asset kama hiyo imeleta hasara kwa kushikiliwa if anything imeongezeka value kutokana na bei ya soko iliyopo.
Hakuna sehemu niliyosema serikari ilishikilia kwa sababu ya kusubiri bei kupanda.
Swali lako alihusiani na hoja yangu ya msingi na wala mada husika; hiyo ni topic nyingine which I will be very happy to explain what influence commodity prices in the market should you wish to learn more.
Mambo yapi yaliyowekwa sawa?Inawezekana aliyoyaongea Musiba kuhusu haka kajamaa jana ni ya kweli.
Yaani miaka yote tangu 2008 wewe umekuwa mbele kupiga kelele juu ya wizi unaofanywa na Migodi ya Madini.
Leo ametokea mtu amejaribu kuweka mambo sawa unapiga kelele tena. Haijalishi Kama amefanikiwa au laa, lakini atleast amejaribu kupambana na kile ambacho Watanzania wengi wamekuwa wakikipigia kelele ukiwemo wewe.
Kiufupi wewe ni tapeli wa kisiasa you do things just for political stunts. Hufanyi kwa maslahi ya Taifa bali kujipatia umaarufu binafsi. The good thing JPM ameweka a benchmark ya aina ya watu wanaopaswa kuwa Marais wa Nchi hii, hadhi ya Urais ameiweka kwenye standard ya juu sana na kutufumbua macho juu ya watu wa aina yako ambao kimsingi hamna chochote ila siasa za ulaghai ziliwafanya mfike hapo mlipo.
Mnapambana kuona JPM aonekane ameshindwa ili muendelee kuonekana nanyi mnasifa za kuwa Marais, kwani akifanikiwa of which is about to hadhi ya Urais itapanda sana na you will automatically be disqualified kwani Watanzania wataanza kufikiria aina ya watu wenye vinasaba kama vyake of which nyie Pro-JK mnavikosa.
Kama next year kutakuwa na uwanja huru japo wa kusemea kisiasa jiwe atapanguliwa mapema sanaNguvu inayo tumika kuwaelewesha wananchi kazi ya jiwe ni kubwa kuliko kazi anazozifanya. Hivyo kwenye utawala wa washamba tutegemee kuvuna kiki za hapa na taifa itakufa baadae kwa hasara za kiki.
Hata hawajali, bora wao walipata sifa za kutosha.
hizi ni ndoto za alinachaKama next year kutakuwa na uwanja huru japo wa kusemea kisiasa jiwe atapanguliwa mapema sana
Zaidi ya vituo vya afya hakuna kipya amefanya maana ndege haziwahusu watu wa kawaida
Zitto una laana na laana yentewe umeipata kutokana na kujionyesha unapambana for National Interest lkn kumbe unapambana kwa ajili ya umaarufu wako binafsi, tunaokujua na undumilakuwili wako uliokuwa ukifanya wewe na Deo marehem kwenye mashirika ya Umma hutatusumbua kabisa
Kama ni ndoto ondoeni mitutu muone kama mikutano tu ya ndani ccm mnaweweseka mkiona muitikio ya hadhara si mtaharisha jukwaani nyiehizi ni ndoto za alinacha