NAKUJA.. NAKUJA NJOO UNIPOKEE...πβββAcha porojo njoo tuzindue Stiglers gorge msaliti wewe.
Kwa hiyo zile noa zetu kwa kila mtanzania zimetaifishwa
Well, kazi yake ya kupiga kelele ndiyo inafanyiwa kazi, sidhani kama ni kelele bali zilikuwa hoja. Kelele hazifanyiwi kazi, hoja inafanyiwa"kajekudya, post: 32280442, member: 327442"]
Yaani miaka yote tangu 2008 wewe umekuwa mbele kupiga kelele juu ya wizi unaofanywa na Migodi ya Madini.
Fikra mbaya sana hizi. Jitihada huwa na lengo la matokeo.Haijalishi Kama amefanikiwa au laa, lakini atleast amejaribu kupambana na kile ambacho Watanzania wengi wamekuwa wakikipigia kelele ukiwemo wewe.
Pitia mstari mmoja baada ya mwingine wa Zitto utusaidie kuubaini utapeli wake. Hoja zipo hapo juuKiufupi wewe ni tapeli wa kisiasa you do things just for political stunts.
Umesema ameanza mwaka 2008, ni kweli alitupwa nje ya Bunge kwa hoja za Buzwagi na madiniHufanyi kwa maslahi ya Taifa bali kujipatia umaarufu binafsi.
Onyesha makosa ya namba alizoweka Zitto hapo juuThe good thing JPM ameweka a benchmark ya aina ya watu wanaopaswa kuwa Marais wa Nchi hii, hadhi ya Urais ameiweka kwenye standard ya juu sana na kutufumbua macho juu ya watu wa aina yako ambao kimsingi hamna chochote ila siasa za ulaghai ziliwafanya mfike hapo mlipo.
.Mkuu chukua hoja za Zitto hapo juu utuonyeshe wapi si kweli mstari kwa mstariMnapambana kuona JPM aonekane ameshindwa ili muendelee kuonekana nanyi mnasifa za kuwa Marais, kwani akifanikiwa of which is about to hadhi ya Urais itapanda sana na you will automatically be disqualified kwani Watanzania wataanza kufikiria aina ya watu wenye vinasaba kama vyake of which nyie Pro-JK mnavikosa
Another stupid presentation. Wachumi wa bungeni. Unawezaje kupoteza kitu ambacho bado unacho?Nchi imepoteza mno kwenye sakata la Makanikia [ Fedha za kigeni $200M na TZS 430B Mapato ya Serikali]
- mwaka 2016 Tanzania iliuza nje dhahabu iliyoingiza USD 1.8 bilioni
- Mwaka wa Makanikia 2017 mauzo nje yalishuka mpaka USD 1.6 bilioni na;
- Mwaka 2018, mwaka ambao athari ya Makanikia ilikuwa mwaka mzima mauzo nje yalikuwa USD 1.4 bilioni
Kati ya mwaka 2017-2018 Mauzo nje ya dhahabu yalishuka kwa jumla ya $200M saw na 11%.
Katika kipindi hicho uzalishaji wa dhahabu ulishuka kutoka tani 43 za dhahabu mwaka 2015 mpaka tani 39 mwaka 2018. Uzalishaji wa mwaka 2018 ulikuwa sawa na uzalishaji wa mwaka 2010.
Mapato ya Serikali kutoka sekta ya Madini yameshuka katika kipindi cha Makanikia. Kwa mujibu wa Kitabu cha Mapato ya Serikali kwa Wabunge ( Revenues Book Vol. 1 ).
Serikali imekadiria kukusanya TZS 350 bilioni mwaka 2019/2020.
- mwaka 2016/17 makusanyo ya mirahaba yalikuwa TZS 341 bilioni
- Mwaka 2017/18 makusanyo ya mirahaba yalikuwa TZS 230 bilioni
- Mwaka 2018/19 makusanyo yalikuwa TZS 220 bilioni.
Kwa mujibu wa Dkt. Genuine Martin kwenye mada yake kwa Policy Forum Breakfast Debate Julai, 2019 Mapato yote ya sekta ya Madini yameshuka kwa 32% katika zama za Makanikia.
Katika Miaka 2 Mapato ya Serikali kutoka sekta ya Madini yameshuka kwa TZS 430 bilioni.
- mwaka 2016 Mapato yalikuwa TZS 1.3 trilioni
- Mwaka 2018 Mapato yalikuwa TZS 867 bilioni.
Tunapata nini kutoka Barrick Gold baada ya sakata la Makanikia?
Mapato ambayo Serikali ya Magufuli imepoteza kwenye sekta ya Madini kati ya mwaka 2017 - 2019 ni makubwa zaidi ya malipo* ambayo Serikali inasema tutalipwa na Barrick Gold Corporation ili kumaliza mgogoro baina ya Kampuni ya Acacia na Serikali.
Tumeona hapo juu kuwa tumepoteza Mapato ya Fedha za kigeni $200M na Mapato ya Serikali kushuka kwa TZS 430 bilioni. Kutoka Barrick tunatarajiwa kupata $300M ambazo chache kulinganisha na kiasi tulichopeteza.
* Malipo yenyewe hayo ya $300M kwanza yatalipwa kwa miaka 7, pili yana masharti ya wao kulipwa kwanza Fedha zao za VAT ( $240M ), na tatu watasamehewa Kodi ya Capital Gains Tax ya mauzo ya hisa za Acacia kwa Barrick Gold ($85.6M). Hatimaye Tanzania ndio itakuwa imeilipa Barrick $25M ( Net of payments and receipts to and from Barrick Gold ).
Kwa hiyo Tanzania imepoteza Mapato iliyokuwa yakusanywe kama mgogoro usingekuwepo [ $200M exports revenues and $170M tax revenues ] na imeishia kuilipa Barrick badala ya yenyewe kulipwa.
Tumepata hasara kubwa sana kutokana na maamuzi yetu wenyewe, maamuzi ambayo hayakuzingatia maslahi ya nchi yetu. Tunapaswa kuwawajibisha waliotupa hasara hiyo.
Kuna kupigana vita kwa nguvu tu kwavile silaha zipo. Halafu kuna kupigana vita kwa akili hata kama silaha hazipo. Sisi tunapigana vita tu kwa nguvu si kwa fikraPia mkakubaliana kuwa kwa kuwa wewe ni mpuuzi na mwonevu ili usinifanyie tena aliyoyafanya, kuanzia sasa, kama tutashindwa kuelewana, itabidi twende mji wa jirani unaitwa Sinapore, kule kuna mtu mmoja anaaminika sana, akitoa uamuzi wake ndiyo utakuwa wa mwisho, wote mkaridhia.Hivi hapo umepata hasara au faida? Kama ni faida, ni ipi hasa?
Hizi stupid argument ndio tunazikataa kwenye masuala mapana ya nchi...,Another stupid presentation. Wachumi wa bungeni. Unawezaje kupoteza kitu ambacho bado unacho?
Kwanza inabidi kuwe na Timu ya Wataalamu huru kufanya uchunguzi wa kina wa miaka 3 ya Makanikia tumepata nini na tumepoteza nini. Timu hiyo ipendekeze hatua za kuchukua kurekebisha makusa.
Wapi ameonesha kwamba ni yeye anayetaka ateuliwe?Hahaha hapo unataka uteuzi uwepo kwenye tume unapenda sana helaaaaa wewe dogo huyu sio kikwete
Yaaani wewe kila ukiona namba unaiita ni takwimu! Takwimu ziko wapi hapo? Nafasi ya ubunge ni muhimu sana, lazima tuitendee haki kwa michango iliyo kamili, toka kwa watu walio kamili. Siyo hawa wapiga kelele ambao ndo wengi humo Bungeni. Unawezaje kusema ni kupoteza utadhani kuna sehemu makinikia yame-expire?Hizi stupid argument ndio tunazikataa kwenye masuala mapana ya nchi...,
Zitto amekuja hoja zilizojaa data na takwimu ukitaka kumpinga njoo na hoja ukiambatanisha data na takwimu...,
Epuka hizi personal attack.
Toka lini mtu akajijiua yeye ni mpumbavu haiwezi kutokea ila tunamtambua mtu mpumbavu kwa vihoja vya kuokoteleza tumewaambia 16%hapo hakuna kitu kilicho fanyika?nyie wapiga mizinga .Mpumbavu kumuelewa Zito anaanzaje kwa mfano
Indeed...waliofanya hesabu ya madai ya kodi hawajielewi. Walikuwa wanaotaNadhani ulitaka kumaanisha USD 190 Billion ambazo ni zaidi ya Shilingi Trillion 430! Na kama ulikusudia kusema Billion 970, basi hizo zisikushangaze bali shangazwa na haya madai ya USD 190 Billion ambazo, sio tu zinazidi hata mali za uwekezaji wenyewe, bali ni zaidi ya mara 5 ya Makert Cap sio ya Acacia, bali ya Barrick Gold ambayo ndani yake kuna kampuni zaidi ya 5 including Acacia!!
changes zipi hizi za kuja na miswada ya dharula na mikataba ya siri?bado sana aiseee hakuna cha maana hapo yani watu wakulipe 300 afu wewe uwalipe 240 na uwasamehe utitiri wa makodi afu ujione unapiga kazi????Mkuu pointi yangu ni kwamba Zitto alikuwa mmoja Kati ya watu waliolalamikia sana swala la Madini. Sasa amekuja mtu anajaribu kurekebisha, na kama alitaka kurekebisha anadhani ingekuwa rahisi, andhani katika kipindi cha marekebisho isingetokea standout, Zotto kama msomi alitegemea zifanyike changes bila kuathiri shughuli za uzalishaji.
Ndio maana nakwambia huyu jamaa amekuwa akitumia umbumbu wa watu kudanganya. Juzi ameleta uongo huju watu wakamuumbua Leo kaja na uongo mwingine.
Mpumbavu kumuelewa Zito anaanzaje kwa mfano
Mabadiliko yaliyokuwa yanatakiwa ni yenye kuleta faida.
Ni sawa na mtu ulimkodisha nyumba kwa sh 2m. Ukaamua kutaka kupata kodi zaidi kwa madai kuwa mpangaji wako ingawa mtaji wa biashara yake ni sh 10m lakini kwa miaka 10 aliyofanyia biashara yake kwenye jengo lake anepata faida ya sh 400m. Ukaenda kumtoa, vitu vyake ukapeleka stoo yako ukidai alikuwa anakupunja kwenye malipo ya kodi.
Ukaanza kujadiliana naye kwa miaka minne, baadaye ukaonekana wewe ni mpuuzi maana biashara ya mtaji wa milioni 10 haiwezi kutengeneza faida ya sh milioni 400 ndani ya miaka 10.
Kipindi cha miaka 4, ukakosa 8m. Baadaye ukakubaliana akufanye kuwa sehemu ya mradi kwa kupewa umiliki wa upendeleo, pia awe anakulipa 2m kama kodi kwa mwaka ila wakati wa kufunga mahesabu ya nwezi, akuhusishe na wewe lakini wewe hutaruhusiwa kufanya maamuzi kwa sababu hisa zako ni za upendeleo tu.
Lakini mkakubaliana pia, japo madai yako ya kusema nilikuwa napata faida ya milioni 200 yalikuwa ni ya uwongo, kwaajili ya kuwa na uhusiano mzuri, nitakupa sh laki 3 ila nitatoa gharama za matengenezo ya mlango ambayo ni sh 240,000. Iliyobakia sh elfu 60 nitakuwa nakupa kidogo kidogo kila mwaka sh elfu 8.
Pia mkakubaliana kuwa kwa kuwa wewe ni mpuuzi na mwonevu ili usinifanyie tena aliyoyafanya, kuanzia sasa, kama tutashindwa kuelewana, itabidi twende mji wa jirani unaitwa Sinapore, kule kuna mtu mmoja anaaminika sana, akitoa uamuzi wake ndiyo utakuwa wa mwisho, wote mkaridhia.
Hivi hapo umepata hasara au faida? Kama ni faida, ni ipi hasa?
Bw.ZZK mimi sijaelewa Vizuri kwanini mapato na Biashara ya madini ishuke kwa ujumla just because ya makinikia stop order. Tusaidie kutuelewesha haya makinikia kwani ni dhahabu pia? Kama Serikali ya TZ haijakataza kufanya biashara ya Madini wala madini hayajaguswa, why mapato yake yashuke? Is it cos of fall in world prices of gold?Nchi imepoteza mno kwenye sakata la Makanikia [ Fedha za kigeni $200M na TZS 430B Mapato ya Serikali]