Tanzania imeshika nafasi ya 13 nchi zisizo na furaha duniani

Tanzania Furaha ni yakuunga unga haijalishi wallet ina uzito gani .

Bongo si sehemu ya mtu kuishi akiwa na Mafanikio makubwa it's either akubali kuishi kwa stress au kama mtumwa .
 
Kwahiyo Rwanda Wana furaha na kagame???πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Yaani Congo inatia huruma kwa kweli. Madini yote yale lakini hakuna raha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…