Tanzania imeshika nafasi ya 13 nchi zisizo na furaha duniani

Tanzania imeshika nafasi ya 13 nchi zisizo na furaha duniani

Reflection yake unaiona humu JF, watu wana makasiriko muda wote, wakija kwenye nyuzi ni kama mbogo aliyejeruhiwa, kutapika mapovu tu.

No surprise kabisa, tafuteni vitu vya kuwapa furaha ya kweli kwenye maisha.
Hahahaha, nilitaka kusema hivi, mfn humu inatosha
 
Ukweli mwanzo niliona wanatuona ila kwa huu msoto wa ajira naopitia na usikute wapo wengi wenye hali kama yangu naunga mkono hoja ,, nchii wenye furaha wachache sana
 
Gentlemen Tlaatlaah tunahitaji maoni yako hapa boss.
gentleman,
mafanikio kutokana na bidii, umakini na uhodari wako katika kufanya kazi ndiyo furaha yako,

hata hivyo,
uoga wako ndiyo umaskini wako,
na uvivu wako ndio unyonge na huzuni yako.

work hard na hutojuta wala kubabaishwa na maoni na mitazamo binafsi ya watu ya jumlajumla kama hii,

usithubutu kukata tamaa :NoGodNo:
 
Back
Top Bottom