Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 40,905 Reaction score 86,203 Feb 5, 2025 #21 Theresa49 said: Reflection yake unaiona humu JF, watu wana makasiriko muda wote, wakija kwenye nyuzi ni kama mbogo aliyejeruhiwa, kutapika mapovu tu. No surprise kabisa, tafuteni vitu vya kuwapa furaha ya kweli kwenye maisha. Click to expand... Hahahaha, nilitaka kusema hivi, mfn humu inatosha
Theresa49 said: Reflection yake unaiona humu JF, watu wana makasiriko muda wote, wakija kwenye nyuzi ni kama mbogo aliyejeruhiwa, kutapika mapovu tu. No surprise kabisa, tafuteni vitu vya kuwapa furaha ya kweli kwenye maisha. Click to expand... Hahahaha, nilitaka kusema hivi, mfn humu inatosha
Mmea Jr JF-Expert Member Joined May 20, 2016 Posts 798 Reaction score 1,871 Feb 5, 2025 #22 Ukweli mwanzo niliona wanatuona ila kwa huu msoto wa ajira naopitia na usikute wapo wengi wenye hali kama yangu naunga mkono hoja ,, nchii wenye furaha wachache sana
Ukweli mwanzo niliona wanatuona ila kwa huu msoto wa ajira naopitia na usikute wapo wengi wenye hali kama yangu naunga mkono hoja ,, nchii wenye furaha wachache sana
Njemba Soro. JF-Expert Member Joined Oct 5, 2013 Posts 3,732 Reaction score 6,561 Feb 5, 2025 #23 Gentlemen Tlaatlaah tunahitaji maoni yako hapa boss.
Tlaatlaah JF-Expert Member Joined May 18, 2023 Posts 24,665 Reaction score 25,388 Feb 5, 2025 #24 Njemba Soro. said: Gentlemen Tlaatlaah tunahitaji maoni yako hapa boss. Click to expand... gentleman, mafanikio kutokana na bidii, umakini na uhodari wako katika kufanya kazi ndiyo furaha yako, hata hivyo, uoga wako ndiyo umaskini wako, na uvivu wako ndio unyonge na huzuni yako. work hard na hutojuta wala kubabaishwa na maoni na mitazamo binafsi ya watu ya jumlajumla kama hii, usithubutu kukata tamaa
Njemba Soro. said: Gentlemen Tlaatlaah tunahitaji maoni yako hapa boss. Click to expand... gentleman, mafanikio kutokana na bidii, umakini na uhodari wako katika kufanya kazi ndiyo furaha yako, hata hivyo, uoga wako ndiyo umaskini wako, na uvivu wako ndio unyonge na huzuni yako. work hard na hutojuta wala kubabaishwa na maoni na mitazamo binafsi ya watu ya jumlajumla kama hii, usithubutu kukata tamaa