Tanzania imeteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Hati za Utambulisho ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, New York, kwa mwaka 2020/2021

Tanzania imeteuliwa kuwa mwenyekiti wa kamati ya Hati za utambulisho ya baraza la umoja wa mataifa.

Wajumbe wote wa kamati hiyo waliipigia kura ya NDIO Tanzania kuwa mwenyekiti wao kwa kipindi cha 2020/21

Maendeleo hayana vyama!
Kazi yake nini hio kamati?

nasubiri majibu hapa?

Kama taifa tunafaidikaje?
 
Mnapenda kusikia habari za kuwapendeza tu toka kwa mabeberu ila mabeberu haohao wanapotoa habari haziwaprndezi mnakuja na matusi mazito
 
Ccm mazuzu Sana Kenya wana kiti baraza la usalama UN lkn hata siku moja hawapigi makelele hv nyie uvccm kupewa hako ka kamati uchwara kelele kibao,enzi za jk post za UN zilikuwa kibao sn lkn ilichukuliwa kawaida ssna,hii ccm mpya mnatia aibu Sana pumbafuu nyinyi
 
Sisi wa chini tunapata faida gani Kama hatuna ajira na serikali inatuchinja Kama kuku kila siku?
 
Tanzania imeteuliwa kuwa mwenyekiti wa kamati ya Hati za utambulisho ya baraza la umoja wa mataifa.

Wajumbe wote wa kamati hiyo waliipigia kura ya NDIO Tanzania kuwa mwenyekiti wao kwa kipindi cha 2020/21

Maendeleo hayana vyama!
Bwashe hiyo Kamati inakuwaga na kazi gani?
 
Kwahiyo ilikuwa ni lazima tz iteuliwe!?

Mwambie Lisu atulie tu na Amsterdam wake
Haijateuliwa bali imethibitishwa. Hizo ni nafadi ambazo kila mwanachama wa UN anapewa wakati ukifika. Qualification ni kuwa nchi mwanachama, basi.

Kujisifu kwa nafasi hii ni sawa mtu ajisifu kuwa leo yeye amekuwa wa kwanza kupata usingizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MATAGA ni wa kupuuza tu!!
 
Imeteuliwa na mabeberu ?
 
Unyeti wake ni nini? Hii ni moja ya nafasi za mzunguko wala haimaanishi tuna sifa za pekee over other countries.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana, hii siyo nafasi ya mzunguko.
Ofisi ya Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Taifa kwa sasa ni Bwana Volkan Bozkir ilitoa pendekezo la kuiteuwa Tanzania.

Wajumbe wa kamati hiyo ambayo ni Marekani, China, Urusi, Cameroon, Uruguay, Iceland, Papua New Guinea, na Trinidad na Tobago wanafanya maamuzi kama kuipitisha au laa.

Kwa hili, wajumbe wote hao, wameipitisha Tanzania bila kupingwa.
 
Kuna jamaa wanakesha kutangaza mabaya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…