EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Kazi yake nini hio kamati?Tanzania imeteuliwa kuwa mwenyekiti wa kamati ya Hati za utambulisho ya baraza la umoja wa mataifa.
Wajumbe wote wa kamati hiyo waliipigia kura ya NDIO Tanzania kuwa mwenyekiti wao kwa kipindi cha 2020/21
Maendeleo hayana vyama!
nasubiri majibu hapa?
Kama taifa tunafaidikaje?