Tatizo lenu wakenya akili zenu ni finyu sana, hivi kweli unauliza kwanini Tanzania tumezuia Magari ya Kenya?, hivi kweli hilo ni swali unauliza hapa hadharani?.
Wewe juzi kati uliungana na Naibu wetu wa kilimo alipokua akilalamika kwa uchungu kule Namanga kwa kitendo cha Kenya kuzuia mahindi ya Tanzania bila kuijulisha Tanzania, hata baada ya waziri wenu wa Kilimo kukanusha kwamba Kenya haijazuia mahindi toka Tanzania, hadi Leo bado mahindi ya Tanzania hayaruhusiwi kupita pale Namanga, hivi unategemea Tanzania tukae kimya?.
NB: Kila panapotoa mgogoro kati ya Kenya na Tanzania, chunguza kwa makini lazima chanzo ni Kenya.
Sent from my TECNO-L8 using
JamiiForums mobile app