Wewe ulisema kwamba siku zote Kenya ndio huwa inaanzisha migogoro. Imekuwaje leo nyie ndio mnaanzisha migogoro?Tuliwaambia uhusiano na Kenya utaendelea kuwa kama enzi za Magufuli kwa sababu ya ujinga wenu, ninyi mlikua mnajaribu kujipendekeza kwa mama Samia Suluhu kwamba amemchagua waziri wa mambo ya nje mwenye kujua diplomasia kwa hiyo mahusiano na Kenya yatakua mazuri, hahahaha, hahaha,.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
LOL na hamuwezi hata kununua panadol bila mkopo?He he he. Kenya's economy is 3 times ile ya Tz. Jifunze kunyenyekea.
Kwani nani alianza kuzuia mahindi kwa kisingizio cha sumu ukuvi na hata baada ya kupimwa na kukuta hayana akaendelea kuzuia? Kama mnazuia mahindi yetu ili wakulima wenu wauze kwanza na sie tunazuia bidhaa zenu ili wazalishaji wetu wauze kwanza!Wewe ulisema kwamba siku zote Kenya ndio huwa inaanzisha migogoro. Imekuwaje leo nyie ndio mnaanzisha migogoro?
Nguvu zetu zipo kwenye nini hebu zitaje???Hamna uwezo wa kushindana na Tanzania we are the strongest country in East Africa.
Tanzania na kenya zimekuwa kama pwagu na pwaguziTanzania imeanzisha tena vita vya kiuchumi kama kawaida yao. Tanzania imezuia madereva wa Kenya kuingia nchini humo bila kutoa sababu zozote za kimsingi. Naona bado mnataka vita hamjatosheka. Mkimwaga mboga sisi tutamwaga ugali.
Tatizo lenu wakenya akili zenu ni finyu sana, hivi kweli unauliza kwanini Tanzania tumezuia Magari ya Kenya?, hivi kweli hilo ni swali unauliza hapa hadharani?.Wewe ulisema kwamba siku zote Kenya ndio huwa inaanzisha migogoro. Imekuwaje leo nyie ndio mnaanzisha migogoro?
Tatizo lenu wakenya akili zenu ni finyu sana, hivi kweli unauliza kwanini Tanzania tumezuia Magari ya Kenya?, hivi kweli hilo ni swali unauliza hapa hadharani?.
Wewe juzi kati uliungana na Naibu wetu wa kilimo alipokua akilalamika kwa uchungu kule Namanga kwa kitendo cha Kenya kuzuia mahindi ya Tanzania bila kuijulisha Tanzania, hata baada ya waziri wenu wa Kilimo kukanusha kwamba Kenya haijazuia mahindi toka Tanzania, hadi Leo bado mahindi ya Tanzania hayaruhusiwi kupita pale Namanga, hivi unategemea Tanzania tukae kimya?.
NB: Kila panapotoa mgogoro kati ya Kenya na Tanzania, chunguza kwa makini lazima chanzo ni Kenya.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Mgogoro uliisha pale ambapo Kenya iliandika barua na kusema kwamba itaruhusu mahindi yenu na ya Uganda yapite bora yawe yamekidhi viwango vinavyohitajika. Mbona Uganda wamewacha kulia? Mahindi yanaruhusiwa kuingia Kenya bora yawe yamefikisha viwango vya usalama kwa binadamu. Hatutaki kula mahindi yenye sumu kuvu. Mahindi yanapita kwenye border ya Namanga bora yamefikisha viwango.Kwani nani alianza kuzuia mahindi kwa kisingizio cha sumu ukuvi na hata baada ya kupimwa na kukuta hayana akaendelea kuzuia? Kama mnazuia mahindi yetu ili wakulima wenu wauze kwanza na sie tunazuia bidhaa zenu ili wazalishaji wetu wauze kwanza!
Tunawalia rada mkileta nyononyono nyingine KQ is next ili mwaka kesho mgonge $400 mln loss!
Honeymoon ya speech ya Uhuru Dodoma is over!
entendeu?
Bado mahindi ya Tanzania yanaendelea kuzuiliwa Namanga pamoja na kwamba tumeyapima na kuthibitisha hayana sumu, pia kumbuka kwamba mlishaitangazia dunia kwamba mahindi yetu yana sumu bila hata kutujulisha ili tujiridhishe na tuchukue hatua ya kuyateketeza endapo kweli yalikua na sumu.Mgogoro uliisha pale ambapo Kenya iliandika barua na kusema kwamba itaruhusu mahindi yenu na ya Uganda yapite bora yawe yamekidhi viwango vinavyohitajika. Mbona Uganda wamewacha kulia? Mahindi yanaruhusiwa kuingia Kenya bora yawe yamefikisha viwango vya usalama kwa binadamu. Hatutaki kula mahindi yenye sumu kuvu. Mahindi yanapita kwenye border ya Namanga bora yamefikisha viwango.
Tanzania imeanzisha tena vita vya kiuchumi kama kawaida yao. Tanzania imezuia madereva wa Kenya kuingia nchini humo bila kutoa sababu zozote za kimsingi. Naona bado mnataka vita hamjatosheka. Mkimwaga mboga sisi tutamwaga ugali.
Kwani issue ya mahindi iliisha,tulikuwa tunaombeleza kwanza .Wewe ulisema kwamba siku zote Kenya ndio huwa inaanzisha migogoro. Imekuwaje leo nyie ndio mnaanzisha migogoro?
Nilifikiri beberu zako wewe ni kina amsterdam tu kumbe hata wakenya?Nguvu zetu zipo kwenye nini hebu zitaje???
Amka mtanzania Magufuli aliwafubaza sanaNilifikiri beberu zako wewe ni kina amsterdam tu kumbe hata wakenya?
Wapigwe spana mbaka akili ziwakae sawa.Hahahaha, mumesahau ule ujinga wenu mliofanya wa kuzuia mahindi kuingia Kenya eti kwa kisingizio kwamba yako na sumu bila hata kutujulisha?, mlitangazia dunia kwamba mahindi ya Tanzania na Uganda yana sumu jambo ambalo nchi zingine zikalazimika kuzuia mahindi yetu, hiyo haikuwa vita ya biashara?.
Ninyi wakenya lazima tuwaonyeshe kwamba sisi sio nchi ya kuichezea, tutawafundisha kwamba Tanzania ni taifa kubwa sana ukanda huu, kamwe hatuwezi kuwabembeleza. Tumezuia ili kulipiza kisasi kitendo chenu kile cha kijinga mlichotufanyia kuhusu mahindi yetu, endeleeni kulialia.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Kuwa mtumwa wa asmterdam na sasa unataka kuwa mtumwa wa wakenya ndio siyo kufubazwa?Amka mtanzania Magufuli aliwafubaza sana
LolHahahaha, mumesahau ule ujinga wenu mliofanya wa kuzuia mahindi kuingia Kenya eti kwa kisingizio kwamba yako na sumu bila hata kutujulisha?, mlitangazia dunia kwamba mahindi ya Tanzania na Uganda yana sumu jambo ambalo nchi zingine zikalazimika kuzuia mahindi yetu, hiyo haikuwa vita ya biashara?.
Ninyi wakenya lazima tuwaonyeshe kwamba sisi sio nchi ya kuichezea, tutawafundisha kwamba Tanzania ni taifa kubwa sana ukanda huu, kamwe hatuwezi kuwabembeleza. Tumezuia ili kulipiza kisasi kitendo chenu kile cha kijinga mlichotufanyia kuhusu mahindi yetu, endeleeni kulialia.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Tumezoea kuona mkimwaga kinyesi KiberaTanzania imeanzisha tena vita vya kiuchumi kama kawaida yao. Tanzania imezuia madereva wa Kenya kuingia nchini humo bila kutoa sababu zozote za kimsingi. Naona bado mnataka vita hamjatosheka. Mkimwaga mboga sisi tutamwaga ugali.
Yaani hawa wajirani zetu kwa nini wanapendaga sana kutuchokoza wa-tz? au sisi ni wapole sana.Tanzania imeanzisha tena vita vya kiuchumi kama kawaida yao. Tanzania imezuia madereva wa Kenya kuingia nchini humo bila kutoa sababu zozote za kimsingi. Naona bado mnataka vita hamjatosheka. Mkimwaga mboga sisi tutamwaga ugali.