joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Hahahaha, lazima tuwafundishe adabu ili msijaribu kurudia ujinga, ni mwendo wa kuwachapa bakora tu. Kama mlizuia mahindi yetu kwa mwezi mmoja, sisi tunazuia gari zenu kwa miezi miwili.Hapa nyinyi ndio mnatuchokoza.
Nani amekuambia kwamba sisi hatuwezi kulipiza kisasi? Sisi mwanzoni tulizuia mahindi pekee ila tunaweza kuzuia kila kitu.Hahahaha, lazima tuwafundishe adabu ili msijaribu kurudia ujinga, ni mwendo wa kuwachapa bakora tu. Kama mlizuia mahindi yetu kwa mwezi mmoja, sisi tunazuia gari zenu kwa miezi miwili.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Hamna uwezo wa kulipiza kisasi ninyi, sisi tunazuia gari zote ili kuona nini mtafanya, next step tunazuia KQ, then tunafunga Bank zote za wakenya.Nani amekuambia kwamba sisi hatuwezi kulipiza kisasi? Sisi mwanzoni tulizuia mahindi pekee ila tunaweza kuzuia kila kitu.
Tumewahi kufunga border in the 1970s. Hii haitakuwa mara ya kwanza.Hamna uwezo wa kulipiza kisasi ninyi, sisi tunazuia gari zote ili kuona nini mtafanya, next step tunazuia KQ, then tunafunga Bank zote za wakenya.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
1970s hamkua mnategemea sana Tanzania kiuchumi kwa sababu mlikua mikononi mwa Western block wakati wa "cold", wazungu walikua wanamiliki biashara za Kenya by 90%.Tumewahi kufunga border in the 1970s. Hii haitakuwa mara ya kwanza.
Tanzania commands EA economies. Our position and resources dictates policies of other state in the region.Tanzania imeanzisha tena vita vya kiuchumi kama kawaida yao. Tanzania imezuia madereva wa Kenya kuingia nchini humo bila kutoa sababu zozote za kimsingi. Naona bado mnataka vita hamjatosheka. Mkimwaga mboga sisi tutamwaga ugali.
Wewe unadhani kati ya UG na TZ nchi gani ndio ina umuhimu zaidi kwa Kenya kibiashara kushinda nyingine.1970s hamkua mnategemea sana Tanzania kiuchumi kwa sababu mlikua mikononi mwa Western block wakati wa "cold", wazungu walikua wanamiliki biashara za Kenya by 90%.
Tangu kumalizika kwa cold war, Kenya imeanza kuegemea mashariki zaidi kiuchumi, China na Tanzania ndio tegemeo kubwa la uchumi wa Kenya kuliko nchi za magharibi kwa sasa.
Uchumi wa Kenya bila China na Tanzania lazima utasambaratika, Kenya ikigombana na Tanzania, Geographically ni kwamba imegombana na nchi zote za kusini mwa Africa. Hahahaha, hahahaha, hahahaha.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Kwa hesabu za makaratasi sawa. Endeleeni kukopa ili mlipe mshahara ya wafanyakazi.He he he. Kenya's economy is 3 times ile ya Tz. Jifunze kunyenyekea.
Mnauwezoo?Nyinyi ndio mumeanzisha vita wiki hii na sisi tunajitayarisha kujibu mapigo.
You have a heart bro, how do you keep pushing on here.Hapa nyinyi ndio mnatuchokoza.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Tulizuiya nzige (panzi) sembuse madereva tulieni nyie,tutazuiya adi hewa isije tz.
Kwani kuhusu mahindi tuliwalipa?Wewe ulisema kwamba siku zote Kenya ndio huwa inaanzisha migogoro. Imekuwaje leo nyie ndio mnaanzisha migogoro?
Zipo kwenye utegemezi wa kiuchumi na kijamii
Kwenye utegemezi wa kiuchumi na kijamii.kenya inategemea Tanzania kwa chakula.kumbuka tusipouza chakula Kenya tutauza nchi nyingine nyingi.resources nyingi za viwanda Kenya wanazipata Tanzania,tukipiga spana?Nguvu zetu zipo kwenye nini hebu zitaje???
Tanzania ni muhimu kwa Kenya kuliko nchi yoyote kutokana na Geographical position ya Tanzania kwa Kenya, bila Tanzania hamuwezi kuzifikia nchi za kusini mwa AfricaWewe unadhani kati ya UG na TZ nchi gani ndio ina umuhimu zaidi kwa Kenya kibiashara kushinda nyingine.
Kwanza ujue ukitoa SA na TZ from SADC basi nchi zingine ni utopolo tu na Kenya haifanyi trade kubwa nazo. For your info Kenya huwa haitrade sana na SADC kupitia land route. Kwa jumla trade kati ya Kenya na SADC huwa inafanyika sana through the ocean. Yaani water transportation is cheaper than land transportation. So it is cheaper for Kenya to export/import goods from SA through the Indian Ocean than through the land bridge from SA to Kenya. Road transportation is very expensive compared to water transportation. The only landlocked countries that we cannot reach by sea are Malawi, Botswana, Zimbabwe and Zambia. Kenya does very little trade with Malawi, Botswana and Zimbabwe. Trade between Kenya and Zambia is also very low. $70 million from Kenya to Zambia and $50 million from Zambia to Kenya. Soma hapaTanzania ni muhimu kwa Kenya kuliko nchi yoyote kutokana na Geographical position ya Tanzania kwa Kenya, bila Tanzania hamuwezi kuzifikia nchi za kusini mwa Africa
| Market | Trade (US$ Mil) | Partner share(%) |
|---|---|---|
| Uganda | 611 | 10.10 |
| Pakistan | 586 | 9.69 |
| United States | 467 | 7.72 |
| Netherlands | 458 | 7.56 |
| United Kingdom | 397 |
| Exporter | Trade (US$ Mil) | Partner share(%) |
|---|---|---|
| China | 3,661 | 21.07 |
| India | 1,829 | 10.53 |
| Saudi Arabia | 1,705 | 9.81 |
| United Arab Emirates | 1,455 | 8.38 |
| Japan | 986 | 5.67 |