Getrude Mollel
JF-Expert Member
- Apr 26, 2022
- 270
- 362
Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu imedhamira kwa dhati kuzalisha umeme Megawati 6000 hadi ifikapo mwaka 2025. Nishati hiyo itakuwa mchanganyiko endapo itazishwa na rasilimali tofati kama vile maji, upepo, jua na hojo ardhi.
Katika kufanikisha hili kufikia azma hiyo, kupita bajeti ya Wizara ya Nishati ya mwaka 2022/23 serikali imetenga kiasi cha Sh. 5/- bilioni ili kuwekeza kwenye uzaishaji wa nishati ya joto ardhi huko Mkoani Mbeya kwenye eneo la Kiejlo-Mbaka ambapo megawati 200 zinatarajiwa kuzalishwa hadi ikifika 2025.
Utafiti umeonesha kwamba Tanzania ina maeneo 50 yenye uwezo wa kuzalisha umeme wa joto ardhi kwa kiwango cha 5000MW.