Tanzania ina mikoa 26 na kila mkoa una wazee. Kwanini Rais wa JMT azungumze na wazee wa Dar pekee?

Sema sijui tu kuwa hata wanaoandaa hii mikutano wanafahamu ni kwanini Nyerere na viongozi wengine walipenda kuongea na wazee wa dsm, ila wazee wa dsm wanahistoria na harakati za ukombozi wa nchi yetu

Harakati za TANU zilianza na wazee wa dsm ndipo zikaenezwa mikoa mingine
 
Mkutano mkuu wa TANU wa Tabora
 
DAR PEKE YAKE NDO KUNA WAZEE,WA HUKU MIKOANI NI MABABU.
 
Tofautisha wazee wa dar KILA mkoa una wazee wake.
Ukisikia wazee ni watu wazito usiwaone wamechoka vile.
Wazee wa dar ndio waasisi wa uhuru Wana historia ndefu hata kabla ya Uhuru.
Wao ndio waliomuondoa mkoloni kwa hiari pasipo damu Nyerere alikabidhiwa tu uongozi sababu alikuwa na shule.Nyerere ni mtoto wa Chief na huwezi kuwa chief kama wewe sio mzee.Na wazee wote nchini ni wanachama wa chama kimoja usichoweza kijua.Tuwaheshimu wazee tuwaenzi wao ndio ubeba historia ya maisha yetu.
 
Nadhani ujamsikilizia Rais,,ilo amelitolea ufafanuzi vizuri mbona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…