Nadhani mtoa uzi hasemi kuwatembelea Bali achague wawakilishi kutoka mikoa yote.[emoji23][emoji23][emoji23]Sasa unataka atembelee wazee wa kila mkoa katika kila mkoa ,haohao wanatosha kuwa kiwakilishi Cha wengine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani mtoa uzi hasemi kuwatembelea Bali achague wawakilishi kutoka mikoa yote.[emoji23][emoji23][emoji23]Sasa unataka atembelee wazee wa kila mkoa katika kila mkoa ,haohao wanatosha kuwa kiwakilishi Cha wengine
Huu ni ubaguzi wa wazi kabisa kwa wazee wa mikoa mingine. Maana kama rais wa JMT hatakiwi kuwabaghua wazee wa mikoa mingine maana nao ni wazee wa taifa.
Kama ulitaka kuzungumza na wazee ungeteua walau kila mkoa upeleke wazee kumi na kisha kuwaita Dodoma na kufanya nao mazungumzo.
Kwani Dar es salaam ndio very special kuliko mikoa mingine?
Kwani wazee wa dar wanawezaje kuwakilisha mikoa 26?
Kumbuka nimesema "harakati zilianzia Dar es Salam". Kuanzia Dsm haimaanishi ziliishia hapo kwasababu furaha ya walioanzisha harakati hizo ilikuwa ni kuona zinaenea nchi nzima na hatimaye Tanganyika kuwa huruMkutano mkuu wa TANU wa Tabora
Soma hii historia.Huu ni ubaguzi wa wazi kabisa kwa wazee wa mikoa mingine. Maana kama rais wa JMT hatakiwi kuwabaghua wazee wa mikoa mingine maana nao ni wazee wa taifa.
Kama ulitaka kuzungumza na wazee ungeteua walau kila mkoa upeleke wazee kumi na kisha kuwaita Dodoma na kufanya nao mazungumzo.
Kwani Dar es salaam ndio very special kuliko mikoa mingine?
Stori kama hizi kamsimulie mkeo.Soma hii historia.
Forojo Ganze ,mzee aliyewasha mwenge mlima Kilimanjaro 1961.
Forojo Ganze,alikuwa ni mmoja kati ya wazee waliotumwa kufanya zindiko la nchi baada ya uhuru kule bagamoyo, walipewa kazi ya kuhakikisha rais aliye madarakani hapingwi na mtu yeyote(Mwl.Nyerere), zindiko hilo lilifanyika bagamoyo ktk moja ya mashimo yanayopatikana wilayani hapo,zoezi hilo lilienda sambamba na kumuuliza shetani na malaika zake ni jambo gani lifanyike ili Tanzania iendelee.
Forojo Ganze ndiye mtu pekee aliyeingia ktk hilo shimo kwaajili ya kuuliza, alikaa huko kwa muda wa siku 10 huku akiwa amewaacha wenzake nje wakimgoja atakuja na jibu gani ili wakampatie rais na wazee wa Dar es salaam,kilichoshangaza siku ya kumi na moja alitoka akiwa hoi hajiwezi akiwa kama mtu aliyepigwa na alikuwa anaongea lugha isiyofahamika,wenzake wakiwa wanaongozwa na Yahaya Hussien walimbeba hadi ikulu Dar es salaam na walipomfikisha mbele ya mwalimu Nyerere alitamka maneno hayo yanayohusu mwenge kwa kiswahili kisha akanyoosha juu mkono wake wa kulia ambao tayari ulikuwa umeandikwa namba hii 115,kisha akakata roho.
Baada ya mazishi mwalimu aliyafanyia kazi maneno ya Forojo Ganze akaanzisha mwenge wa uhuru bila kujua ulikuwa na maana gani, baada ya hapo aliwagiza yahya Hussein atafasiri maana ya ile namba 115, kama kawaida ya shehe Yahaya alitafasiri akamwambia kuwa namba hiyo inamaanisha "utakufa ukiwa na umri wa miaka 77 na taifa la Tanzania kwa kipindi hicho litakuwa na umri wa miaka 38.
Hii inamanisha ukichukua 77 umri wa mwalimu jumlisha 38 umri wa taifa utapata 115, na hii ndivyo ilivyokuwa, mwaka 1999 mwalimu alikufa akiwa na miaka 77 na taifa lilikuwa na miaka 38 ya uhuru (77+38=115) pia utamaduni wa rais kuongea na wazee wa Dar es salaam unaendelea hadi sasa na wamekuwa na maamuzi ya kitaifa na husikilizwa sana wanachokisema,mbona haijawahi kutokea rais akaongea na wazee wa bukoba jambo la kitaifa?,zindiko la bagamoyo linafanya kazi.
Safu hii ilikuwa ya watu 5 ambao ni.
1. Mzee Ramadhan, alizaliwa mwaka 1920,
2. Ally Tarazo(1929),
3. Komwe wa Komwe(1918),
4. Sheihe Yahya Hussein(1925)
5. Forojo Ganze (1902)
Nimecheka sana heti Matimbwa nae ni Mzee anyway hii Nchi ccm wameifanyia ujinga mwingi sanaHakuna wazee pale
Ni wanaccm wa kariakoo ambao wanatumikaga kutoa hotuba juu ya mambo flani..
Ccm wangekuwa wanaheshimu wazee wasingemtuma Bashite akamchape vibao jaji Warioba.
Huu ni 'utamaduni' wa CCM tangu enzi za Mwalimu Julius Nyerere wanazungumza na wazee wa Dar. Hata Mwalimu alipokuwa akitangaza vita ya Kagera nakumbuka alizungumza na wazee wa Dar pale Diamond Jubilee. Ni utamaduni ambao wengi tunasema CHANGE lakini wenyewe hawataki. Wanabaki na mawazo yaleyale ya enzi zetuHuu ni ubaguzi wa wazi kabisa kwa wazee wa mikoa mingine. Maana kama rais wa JMT hatakiwi kuwabaghua wazee wa mikoa mingine maana nao ni wazee wa taifa.
Kama ulitaka kuzungumza na wazee ungeteua walau kila mkoa upeleke wazee kumi na kisha kuwaita Dodoma na kufanya nao mazungumzo.
Kwani Dar es salaam ndio very special kuliko mikoa mingine?