Tanzania ina uchumi wenye umbo la herufi "K", "K shaped economy"

Tanzania ina uchumi wenye umbo la herufi "K", "K shaped economy"

Akilindogosana

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2020
Posts
4,629
Reaction score
13,551
Tanzania ina uchumi wenye umbo la herufi K, kitaalam inaitwa "K shaped economy". Huu uchumi unakuwa na pande mbili kama herufi K, upande wa juu unakuwa na pesa nyingi, ukuaji mkubwa, matrilioni ya hela halafu upande wa chini unakuwa na umasikini hali ngumu na dhiki.

Ripoti zilizopo ni za upande wa juu, mabenki yanapata faida ya matrilioni, serikali ina matrilioni, soko la hisa lina matrilioni, benki kuu kuna matrilioni na uchumi unakuwa kwa matrilioni. Ila hali halisi ya upande wa chini kwenye K haipo ila waty wa chini wanakiona cha moto. Wataalamu wa uchumi njooni muongezee maelezo juu ya uchumi "K" au "K shaped economy"
 
Wataalamu wa uchumi njooni muongezee maelezo juu ya uchumi wa K, " K shaped economy"
 
Ngoja ni wasubiri wataalam wakati uo napitia kwa ChatGPT
 
Huu uchumi wa K mabeberu wanajipigia tu mara wamarekani, wachina, na waarabu. Halafu kuna muda ukafikia kuwa uchumi wa K-Kati
 
Back
Top Bottom