Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,206
- 18,549
Kwa ukubwa wa Tanzania, tumechelewa sana kwenye secta ya anga. Hadi 2015 tulikuwa bado tunatumia rada za majirani zetu na tulikuwa tuna kiwanja kimoja tuu chenye hadhi ya kimataifa.
Kwa sasa tuna viwanja viwili 2 ambavyo vinaweza kuhost ndege kubwa za kimataifa ambavyo ni Kilimanjaro ambacho bado kipo chini ya kampuni hewa Kadco na Julius Nyerere Int airport.
Ili kwenda vizuri tunahitaji walau viwanja 6 vyenye hadhi ya kimataifa katika maeneo 6 tofauti.
1. JNIA , Dar Es Salaam
2. KIA, Kilimanjaro
3. Mtwara International Airport (MIA) Mtwara
4. Mbeya International Airport (MBIA), Mbeya
5. Dodoma International Airport (DIA), Msalato, Dodoma
6. Mwanza International Airport (MWIA), Mwanza.
TUnahitaji kufika hapo kabla ya 2030.
Hizo ndio zinakua gateway kwa Tanzania.
Kwa sasa tynakwenda kana kwamba hatuna dira ya taifa kila mtu anataka international airport ijengwe mkoa ambao yeye kama kiongozi anatoka.