Tanzania inahitaji Rais anayejiamini na mwenye uhakika wa Jambo lake na Maamuzi yake

Jamani, ameshakiri wazi kwamba yeye hana uwezo wa kufuatilia mambo kama JPM, mnataka aseme nini tena?
 
WE MNYARWANDA MTUTSI , UMEKULA KITU cha Arachuga??🤣🤣

Nenda kwenu Rwanda KWA "PAKA"

Kamshauri Mjomba ako "PAKA "😶😶😶😃😃
 
Panga pangua zaidi ya siku 60??
 
Mataga mnademka tu. Ndio umeandika nini sasa.
 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.....

Kazi iendeleeeeeeeeeeee.
 
Awe anajiamini kama Mama SSH. Maana hatuna Rais mbadala ila yeye. Hata kama Musoma ni ngumu kumeza
 
Nyinyi chawa wa fulsa ndio wabaya kuliko hao sukuma gang.

Mnampetipeti mama, ili aendelee kuwachekea huku mnarutubisha mavitambi kisawa sawa.
Sisi hatutaacha kumpigia kelele, mpaka kiti kiwe cha moto, aache kusikiliza kelele za wajinga wajinga wanaomtumia.

Bahati mbaya mama ni mwoga wa lawama, ila tuna imani atakizoea kiti, hasa baada ya kuupata moto sawa sawa kutokea kwa wazalendo, hapo ndio mtajua, chawa yake maji ya moto.
 
Tafadhali acheni Kuuficha Udhaifu wa Mama ( Rais ) kwa Gharama ya kulisema 24/7 Kundi la SUKUMA GANG kwani mtakuwa ( tutakuwa ) hatumsaidii Mama ( Rais )
Udhaifu upo kila sehemu kwani ulitegemea atakuwa correct by 100%.

You have the point but you missed how to represent it in a very constructive way
 
Binadamu hamna jema wakati wa JPM mlisema bora JK sasa mnasema JK hamna kitu
 
Mama hana uwezo. Magufuli alikuwa namba nyingine kabisaaa
 
Nyinyi mnaojua kulaumu tu ndio inabidi mubadilike. Lawama zenu ambazo nyingi hazina msingi hazimsaidii mama.

Give credit when due my friend. Anapopatia lazima apongezwe na asilaumiwe asipostahili lawama.

Sukuma gang mnakurupuka tu na milawama yenu.

Mama aachwe afanye kazi na neema zitapatikana kwa kila mmoja wetu
 
Unapomsubiria adhihirishe...wengine tayari washadhihirisha….uongozi siyo tu katika siasa - hivyo usijilimit kwa Madame tu.
Dada Theodora Habari ya Machweo, Hivi Ni Kweli Kwamba Utafiti uliofanyika duniani kote unaonyesha kati ya watoto wa4 waliozaliwa mmoja si wa mme wa ndoa. Kwamba Kwa Afrika ni katika watoto wa3 waliozakiwa m1 si wako.?
 
Dada Theodora Habari ya Machweo, Hivi Ni Kweli Kwamba Utafiti uliofanyika duniani kote unaonyesha kati ya watoto wa4 waliozaliwa mmoja si wa mme wa ndoa. Kwamba Kwa Afrika ni katika watoto wa3 waliozakiwa m1 si wako.?
Nakusabahi Josh J. Naona unaanza kutuchokoza asubuhi asubuhi. Bahati mbaya hiyo research sijaifuatilia labda kama DNA zilifanyika. Na hapo hapo kama mtoto 1 siyo wa mume wa ndoa, 'it takes 2 to tango' hivyo kuna mwanamume kwenye ndoa kazaa na mke wa mtu.

Checkmate...
 
Jk ni kilaza hawezi toa ushauri wa maana . Tuwe tunaambiana tu ukweli. Hapo ame chemka sana. Tunarudi nyuma badala ya kusonga mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…