Tanzania inahitaji Rais anayejiamini na mwenye uhakika wa Jambo lake na Maamuzi yake

I'm very worried na uwezo wa mama wa kufuatilia mambo, kama wasaidizi wake watakuwa si wazalendo, mama atakuwa anaingizwa chaka several time.
MAMA SHOULD BE PAYING ATTENTION TO THE DETAILS, AKILI ZA KUAMBIWA ACHANGANYE NA ZAKE. JAKAYA NI JANGA LA KITAIFA, ALISABABISHA NCHI HII KUIBWA SANA.
hapo ndipo mtawaelewa umuhimu wa katiba mpya - ukiwa na katiba bora hata ukipata rais dhaifu nchi lazima isonge mbele maana misingi inakuwa imara kupitia katiba !!

Kwa sasa hamna la kufanya, nawashauri muwe wapole tu.
 
Mtaanza sasa Kutulazimisha kuamini kuwa Watu wa Jinsia fulani si ' Competent ' kwa nafasi ya ' Head of State ' na akina GENTAMYCINE tukiamini hivyo msituchukie au msianze ' Kutubatiza ' Jina lenu la SUKUMA GANG mkimaanisha ni Wapinzani ' Tukuka ' wa Utawala huu wa Rais ( Mama ) Samia Suluhu Hassan.

Tanzania ya sasa inahitaji Rais ambaye haishii tu kuwa Mchapakazi bali pia mwenye uwezo wa Kufuatilia Jambo, Kusoma sana, Kujiridhisha na kuwa na Timu ya Wasaidizi ( Washauri ) wenye Akili hasa na siyo Wapumbavu wenye ' Uchawa ' mwingi.

Kibinadamu Tukio moja linasameheka kwani hata Mimi GENTAMYCINE na hata Wewe ' Member ' pia huwa tunakosea ila Mtu huyo huyo akilirudia tena Tukio ( Kosa ) hilo hilo anaanza kututia Mashaka na kuanza kutupa Mtihani mzito wa Kumjibia kutoka kwa wale wasiomkubali.

Nina mengi Moyoni na Rohoni ila kabla tu Hasira zangu hazijanipanda zaidi kwa Upuuzi unaoanza Kuzoeleka natoa Ushauri wa bure kwa wale Watanzania ambao watagombea Urais miaka ijayo GENTAMYCINE nawaombeni teueni Makamu wa Rais Vijana ( Damu Changa ) na pia wawe ' very intelligent ' ili hata ikitokea Mmekufa ( Mmefariki ) watakaotwaa Madaraka ' Kikatiba ' wawe ni Watu ambao hawatotupa Mashaka Mashaka katika Kuwaamini kama ninavyoanza kupata Mashaka hayo sasa.

Najua kwa Uzi huu leo nami nitabatizwa kuwa natokea SUKUMA GANG hivyo nikiitwa hivyo kwa kusema huu Ukweli wangu nitalipokea hilo Jina ila pamoja na kwamba Hayati Rais Dkt. Magufuli alikuwa na ' Mapungufu ' yake ila nilikuwa nikimpenda zaidi katika tabia yake ya kupenda Kujiridhisha, Kudadisi, Kufuatilia Jambo na kufanya Maamuzi ya uhakika ambayo huenda yakachelewa ila hayatotupa Mashaka na kuanza Kutusababishia tuwe na Maswali mengi.

Mlio karibu na Mheshimiwa Rais nanyi pia ni sehemu ya tatizo kwani hamumsaidii hadi Mama kila mara anatoa ' Maboko ' yake tu ya ' Kuteua Kutengua ' au yawezekana pia mkawa katika Mpango ' Maalum ' wa Kumpigisha Shoti ( Kumuhujumu Mama ) ili aharibikiwe na achekwe Yeye na tuchekwe pia Sisi wana CCM wote.

Mwisho namalizia kwa Mama ( Mheshimiwa Rais ) hebu punguza sana kuwa karibu kwa 99% na Rais Mstaafu Kikwete ( hasa Kiushauri ) kwani Kitendo hiki ' Kinawakera ' baadhi ya Watendaji wako ( tena Waandamizi kabisa ) na usipokuwa nacho makini kitakuja Kukugharimu na utakuja Kunikumbuka GENTAMYCINE niliyenyimwa Utajiri na Nguvu ila niliyepewa Fikra na Maono na Mwenyezi Mungu.

Sisemi usimsikilize Mzee Kikwete bali acha Kumfanya ndiyo kila Kitu Kwako Kiushauri bali Shirikisho pia na Watu ( Wastaafu ) wengine lakini pia Waamini na hao Watendaji wako ulionao sasa Serikalini kwani huenda na Wao wakawa na Mawazo Cbanya Kwako Kimaendeleo na Kiuongozi hata kuliko hayo unayoyapata kwa Mzee Kikwete.

Hii ' Teua Tengua ' iwe mwisho Mama!!!!
Nakazia
Mama amekuwa submissive kwa Mzee wa Msoga hadi inatukera "Wanazengo"
 
Gent siku hizi ukiongelea hayo tunaitwa SUKUMA GANG,Japo hata chembe ya kiusukuma ktk family hakuna,Tunafanya tunyamaze tu ila inauma kukamuliwa pesa kisha tunaambiwa zimetumika kamati ya mazingira,sherehe za mei modi na kazi maalumu daaah
 
mbaya zaidi tunaambiwa kazi iendelea...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...bandugu kazi gani mnayoiona inaendelea...kinachoendelea ni upigaji na ujambazi ...kodi imeenda chini sana sijui tutasomeshaje tutegemee bakuli kuanza kutembeza
 
Mtaanza sasa Kutulazimisha kuamini kuwa Watu wa Jinsia fulani si ' Competent ' kwa nafasi ya ' Head of State ' na akina GENTAMYCINE tukiamini hivyo msituchukie au msianze ' Kutubatiza ' Jina lenu la SUKUMA GANG mkimaanisha ni Wapinzani ' Tukuka ' wa Utawala huu wa Rais ( Mama ) Samia Suluhu Hassan.

Tanzania ya sasa inahitaji Rais ambaye haishii tu kuwa Mchapakazi bali pia mwenye uwezo wa Kufuatilia Jambo, Kusoma sana, Kujiridhisha na kuwa na Timu ya Wasaidizi ( Washauri ) wenye Akili hasa na siyo Wapumbavu wenye ' Uchawa ' mwingi.

Kibinadamu Tukio moja linasameheka kwani hata Mimi GENTAMYCINE na hata Wewe ' Member ' pia huwa tunakosea ila Mtu huyo huyo akilirudia tena Tukio ( Kosa ) hilo hilo anaanza kututia Mashaka na kuanza kutupa Mtihani mzito wa Kumjibia kutoka kwa wale wasiomkubali.

Nina mengi Moyoni na Rohoni ila kabla tu Hasira zangu hazijanipanda zaidi kwa Upuuzi unaoanza Kuzoeleka natoa Ushauri wa bure kwa wale Watanzania ambao watagombea Urais miaka ijayo GENTAMYCINE nawaombeni teueni Makamu wa Rais Vijana ( Damu Changa ) na pia wawe ' very intelligent ' ili hata ikitokea Mmekufa ( Mmefariki ) watakaotwaa Madaraka ' Kikatiba ' wawe ni Watu ambao hawatotupa Mashaka Mashaka katika Kuwaamini kama ninavyoanza kupata Mashaka hayo sasa.

Najua kwa Uzi huu leo nami nitabatizwa kuwa natokea SUKUMA GANG hivyo nikiitwa hivyo kwa kusema huu Ukweli wangu nitalipokea hilo Jina ila pamoja na kwamba Hayati Rais Dkt. Magufuli alikuwa na ' Mapungufu ' yake ila nilikuwa nikimpenda zaidi katika tabia yake ya kupenda Kujiridhisha, Kudadisi, Kufuatilia Jambo na kufanya Maamuzi ya uhakika ambayo huenda yakachelewa ila hayatotupa Mashaka na kuanza Kutusababishia tuwe na Maswali mengi.

Mlio karibu na Mheshimiwa Rais nanyi pia ni sehemu ya tatizo kwani hamumsaidii hadi Mama kila mara anatoa ' Maboko ' yake tu ya ' Kuteua Kutengua ' au yawezekana pia mkawa katika Mpango ' Maalum ' wa Kumpigisha Shoti ( Kumuhujumu Mama ) ili aharibikiwe na achekwe Yeye na tuchekwe pia Sisi wana CCM wote.

Mwisho namalizia kwa Mama ( Mheshimiwa Rais ) hebu punguza sana kuwa karibu kwa 99% na Rais Mstaafu Kikwete ( hasa Kiushauri ) kwani Kitendo hiki ' Kinawakera ' baadhi ya Watendaji wako ( tena Waandamizi kabisa ) na usipokuwa nacho makini kitakuja Kukugharimu na utakuja Kunikumbuka GENTAMYCINE niliyenyimwa Utajiri na Nguvu ila niliyepewa Fikra na Maono na Mwenyezi Mungu.

Sisemi usimsikilize Mzee Kikwete bali acha Kumfanya ndiyo kila Kitu Kwako Kiushauri bali Shirikisho pia na Watu ( Wastaafu ) wengine lakini pia Waamini na hao Watendaji wako ulionao sasa Serikalini kwani huenda na Wao wakawa na Mawazo Cbanya Kwako Kimaendeleo na Kiuongozi hata kuliko hayo unayoyapata kwa Mzee Kikwete.

Hii ' Teua Tengua ' iwe mwisho Mama!!!!
Duh kumbeeee Ccm lia lia,sukuma gang,veronica France wote ni genge moja !!!??? dawa ya hizi kauli zenu ni katiba mpya ,,
 
Nachomwambia MAMA yani apangue safu zooote ndio atulie
na bado naamini kuna watu wananufaika na watu ambao msomeno unakaribia kuwafikia kuwakata mirija yao ,
Mama usiogope nchi yako hii ikate mirija yote yakijinga kijinga pangua wote mbaka level ya mwisho
Mimi ntasimama na wewe.
 
Gent siku hizi ukiongelea hayo tunaitwa SUKUMA GANG,Japo hata chembe ya kiusukuma ktk family hakuna,Tunafanya tunyamaze tu ila inauma kukamuliwa pesa kisha tunaambiwa zimetumika kamati ya mazingira,sherehe za mei modi na kazi maalumu daaah gang aimaanisha kabila man.usitafute kuwa safi kwa kuchafua wengine ,
 
Lazima aondoe sukuma gang wote serikalini otherwise watamkwamisha.
post ya hovyo zaidi tangu mwaka uanze.
wizara ya fedha walikojilipa mamilioni ya fedha ni Sukuma gang?
Katibu mkuu wa sukuma gang aliondolewa,akaletwa malaika mpya ndo yametokea haya.
mshaurini rais kitu cha kumsaidia,siyo umeshiba viazi vyako nawe unakimbilia kutoa matapishi tu.
 
Na nyumbu wamekuwa very busy wakijaribu kumfarakanisha na voting bloc ambayo ndiyo inaamua mgombea gani awe Rais. Anapaswa kuwa makini sana or else utabiri wako utatimia!
Wao wajua ngome yao kule kwao,ndo maana Mbowe kaanza kuleta hoja za ukabila ili aungwe mkono na kabila lake.
 
Kuwa na kiongozi ambaye anafanya teuzi halafu ndani ya muda mfupi anafanya utenguzi kabla ya wateuliwa aliowapitisha kuapishwa kuna shida mahali, hii inaonesha ni kwa jinsi gani mama si msomaji ama mfuatiliaji mzuri wa mambo.
Hii mikataba anayosaini nje isijekuwa kitanzi kwa taifa.
 
Huyu atamaliza miaka 4 anateua na kutengua hakuna jipya
Angalau watu hawatekwi,watu wanapanda madaraja kazini na hajijengei uwanja wa ndege usio na tija kijijini kwake
 
Mtaanza sasa Kutulazimisha kuamini kuwa Watu wa Jinsia fulani si ' Competent ' kwa nafasi ya ' Head of State ' na akina GENTAMYCINE tukiamini hivyo msituchukie au msianze ' Kutubatiza ' Jina lenu la SUKUMA GANG mkimaanisha ni Wapinzani ' Tukuka ' wa Utawala huu wa Rais ( Mama ) Samia Suluhu Hassan.

Tanzania ya sasa inahitaji Rais ambaye haishii tu kuwa Mchapakazi bali pia mwenye uwezo wa Kufuatilia Jambo, Kusoma sana, Kujiridhisha na kuwa na Timu ya Wasaidizi ( Washauri ) wenye Akili hasa na siyo Wapumbavu wenye ' Uchawa ' mwingi.

Kibinadamu Tukio moja linasameheka kwani hata Mimi GENTAMYCINE na hata Wewe ' Member ' pia huwa tunakosea ila Mtu huyo huyo akilirudia tena Tukio ( Kosa ) hilo hilo anaanza kututia Mashaka na kuanza kutupa Mtihani mzito wa Kumjibia kutoka kwa wale wasiomkubali.

Nina mengi Moyoni na Rohoni ila kabla tu Hasira zangu hazijanipanda zaidi kwa Upuuzi unaoanza Kuzoeleka natoa Ushauri wa bure kwa wale Watanzania ambao watagombea Urais miaka ijayo GENTAMYCINE nawaombeni teueni Makamu wa Rais Vijana ( Damu Changa ) na pia wawe ' very intelligent ' ili hata ikitokea Mmekufa ( Mmefariki ) watakaotwaa Madaraka ' Kikatiba ' wawe ni Watu ambao hawatotupa Mashaka Mashaka katika Kuwaamini kama ninavyoanza kupata Mashaka hayo sasa.

Najua kwa Uzi huu leo nami nitabatizwa kuwa natokea SUKUMA GANG hivyo nikiitwa hivyo kwa kusema huu Ukweli wangu nitalipokea hilo Jina ila pamoja na kwamba Hayati Rais Dkt. Magufuli alikuwa na ' Mapungufu ' yake ila nilikuwa nikimpenda zaidi katika tabia yake ya kupenda Kujiridhisha, Kudadisi, Kufuatilia Jambo na kufanya Maamuzi ya uhakika ambayo huenda yakachelewa ila hayatotupa Mashaka na kuanza Kutusababishia tuwe na Maswali mengi.

Mlio karibu na Mheshimiwa Rais nanyi pia ni sehemu ya tatizo kwani hamumsaidii hadi Mama kila mara anatoa ' Maboko ' yake tu ya ' Kuteua Kutengua ' au yawezekana pia mkawa katika Mpango ' Maalum ' wa Kumpigisha Shoti ( Kumuhujumu Mama ) ili aharibikiwe na achekwe Yeye na tuchekwe pia Sisi wana CCM wote.

Mwisho namalizia kwa Mama ( Mheshimiwa Rais ) hebu punguza sana kuwa karibu kwa 99% na Rais Mstaafu Kikwete ( hasa Kiushauri ) kwani Kitendo hiki ' Kinawakera ' baadhi ya Watendaji wako ( tena Waandamizi kabisa ) na usipokuwa nacho makini kitakuja Kukugharimu na utakuja Kunikumbuka GENTAMYCINE niliyenyimwa Utajiri na Nguvu ila niliyepewa Fikra na Maono na Mwenyezi Mungu.

Sisemi usimsikilize Mzee Kikwete bali acha Kumfanya ndiyo kila Kitu Kwako Kiushauri bali Shirikisho pia na Watu ( Wastaafu ) wengine lakini pia Waamini na hao Watendaji wako ulionao sasa Serikalini kwani huenda na Wao wakawa na Mawazo Cbanya Kwako Kimaendeleo na Kiuongozi hata kuliko hayo unayoyapata kwa Mzee Kikwete.

Hii ' Teua Tengua ' iwe mwisho Mama!!!!
Angalau watu hawatekwi,watu wanapanda madaraja kazini na hajijengei uwanja wa ndege usio na tija kijijini kwake
 
Huenda tukawa na Raisi wa hovyo Zaid kuwahi kutokea baada ya mwendazake ngoja tuone
Angalau watu hawatekwi,watu wanapanda madaraja kazini na hajijengei uwanja wa ndege usio na tija kijijini kwake
 
Kuwa na kiongozi ambaye anafanya teuzi halafu ndani ya muda mfupi anafanya utenguzi kabla ya wateuliwa aliowapitisha kuapishwa kuna shida mahali, hii inaonesha ni kwa jinsi gani mama si msomaji ama mfuatiliaji mzuri wa mambo.

Kuna shida mahali kwa washauri wa mama, pia namshauri aongeze umakini sana kama anaanguka mapema kwenye masuala ya uteuzi, je ataweza kuongoza taifa kweli?

Kuna kitu hakiko sawa kwa huyu kiongozi wetu
Angalau watu hawatekwi,watu wanapanda madaraja kazini na hajijengei uwanja wa ndege usio na tija kijijini kwake.....na angalau anawaondoa mapema na si kuwabakisha kwa jeuri kama Bashite ili tu kuwakomoa wanaompinga
 
Nafasi ya uraisi imemuangukia tu hakujiandaa kwa majukumu hayo mazito ya kazi ya lawama. sidhani kama ni sawa kuendelea kumjudge bado ana mengi ya kujifunza. Japokua binafsi naona still she is a weak president.
Angalau watu hawatekwi,watu wanapanda madaraja kazini na hajijengei uwanja wa ndege usio na tija kijijini kwake.....na angalau anawaondoa mapema na si kuwabakisha kwa jeuri kama Bashite ili tu kuwakomoa wanaompinga
 
Huenda tukawa na Raisi wa hovyo Zaid kuwahi kutokea baada ya mwendazake ngoja tuone
Binafsi nampongeza Rais Samia kwa kurekebisha uteuzi wake pale anapogundua kuna mapungufu. Kufanya kosa katika uteuzi si jambo la ajabu. Hata Mwl Nyerere alipomteua Chediel Mgonja kuwa RC Shinyanga alitengua uteuzi wake baada ya kugundua kuwa alikuwa amepoteza
sifa za kuwa RC. Bora Mama kuliko Mwendazake aliyekuwa anakaa na viongozi wenye vituko kama Makonda, Sabaya ambao pamoja na mapungufu yao kufahamika (kughushi vyeti kwa upanda wa Makonda na "extortion" upande wa Sabaya) alikuwa na kamsemo kake kuwa yeye hapangiwi!
 
Back
Top Bottom