Huyu mama msimchukilie poa sio kilaza yuko smart anajua mambo humdanganyi, sababu anasoma nakufuatilia mambo..ila nahisi hajiamini anawatu amewaestablish yeye km authority figures wake...kwahio wakimshauri otherwise anakwenda nalo...mimi naona tumuencourage asimame yeye km yeye aamue anachokiamini yeye moyoni mwake bila kushikiwa maamuzi...asifanye kwa kumfurahisha mtu ama taifa fulani akihisi kwamba ataonekana ni smart kuliko waliomtangulia, being sharp and smart ni relative, utakuwa smart kwa taifa hili sababu wanamaslahi na uamuzi wako, kwa taifa lingine wakakuona otherwise au hata hao hao behind the scene wakakuzomea...so asimame imara km simba... ushauri asikilize ila achanganye na hisia zake..maana kiapo alikiapa yeye...
Mimi kwangu nilihisi kazi yake itakuwa rahisi sababu ameshafunguliwa njia na JPM angepita humo humo sasa inamuwia vigumu sana sababu amekaribisha figures zingine zinazompeleka njia nyingine tofauti ambapo yeye ana muda mchache mpaka uchaguzi, njia ikibackfire imekula kwake na kwa CCM...sasa najiuliza either njia ya JPM ni ngumu sana haiwezi na hao anaowaamini hawawezi kumback up aipite au labda haikuwa na maslahi yao, au labda wanamset ama labda alikuwa haiamini yeye binafsi..time will tell...kazi iendelee