kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,779
- 4,982
Hii nchi kuna mambo mengi ya ufisadi mwingi ambao unaendelea katika nchi hii ila watu wengi hawajui tu. Na hao mafisadi ndo alidili nao jpm kipindi cha uhai wake.
Wajinga wengi wakaona kuwa anawaonea bure lakini walikuwa hawajui kilicho kuwa kinaendelea nyuma ya pazia.
Sasa hivi ndo hawa hawa ambao wanajaa mitandaoni kumtukana jpm eti yule alikuwa katili saana, yule alikuwa mbaya saana. Lakini maovu yao hawataki kuyaonyesha.
Na watu fulani nao wanasikia na kuanza kutukana kisa kasikia fulani amesema alikuwa mbaya. Utasikia! yaani ilikuwa uoga kutembea usiku katika nchi yako. Una angalia anaye sema eti alikuwa anaogopa jpm kumteka, Una baki unajichekea tu mwenyewe.
Ila kwa ufupi TZ tunahitaji Rais kama JPM hili tuwe na maendeleo ya kweli.