Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,021
- 22,016
Hatutaki mtu muuaji na mtesi wa watu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe lazima darasa la saba “la zamani”Hivi nyie wapumbavu mtaerevuka lini?
Kila siku JPM, JPM.
Mbona husemi Tanzania inahitaji Rais kama wewe . Yaani mmekubali kuwa hamna akili timamu ya kuweza kutawala mpaka mnamtamani marehemu.
JPM mlisema kuwa ni chabuo la Mungu , Mungu mwenyewe amethibitisha kuwa si chaguo lake.
Eti Tanzania tunaihitaji Rais kama JPM ili tuwe na maendeleo ya kweli.
Maendeleo ya kweli ya kutokuongeza MISHAHARA ya watumishi kwa miaka 6?
Maendeleo ya kweli ni kutokupandisha watumishi madaraja ?
Maendeleo ya kweli kuokota watu kwenye viroba?
Maendeleo ya kweli kweli wananchi kuishi kifukara?
Huu umaskini wa wananchi wanaohangahika nao sasa hivi ni urithi wao toka kwa JPM. SAMIA Kaichukua nchi ikiwa tupu, mbaya zaidi kaikuta kwenye effects za COVID-19, kakaa kidogo kakutana na vita ya mabeberu huko Ukraine.
Na vita hii JPM angekuwa ndiye Rais wetu wananchi tungenunua petrol kwa sh. 5000.
Yule mzee alikosa busara
Nina miaka 33 na nimeajiriwa serikalini as a junior officer.Wewe lazima darasa la saba “la zamani”
Greatest satanist person.JPM the greatest!
Hivi nyie wapumbavu mtaerevuka lini?
Kila siku JPM, JPM.
Mbona husemi Tanzania inahitaji Rais kama wewe . Yaani mmekubali kuwa hamna akili timamu ya kuweza kutawala mpaka mnamtamani marehemu.
JPM mlisema kuwa ni chabuo la Mungu , Mungu mwenyewe amethibitisha kuwa si chaguo lake.
Eti Tanzania tunaihitaji Rais kama JPM ili tuwe na maendeleo ya kweli.
Maendeleo ya kweli ya kutokuongeza MISHAHARA ya watumishi kwa miaka 6?
Maendeleo ya kweli ni kutokupandisha watumishi madaraja ?
Maendeleo ya kweli kuokota watu kwenye viroba?
Maendeleo ya kweli kweli wananchi kuishi kifukara?
Huu umaskini wa wananchi wanaohangahika nao sasa hivi ni urithi wao toka kwa JPM. SAMIA Kaichukua nchi ikiwa tupu, mbaya zaidi kaikuta kwenye effects za COVID-19, kakaa kidogo kakutana na vita ya mabeberu huko Ukraine.
Na vita hii JPM angekuwa ndiye Rais wetu wananchi tungenunua petrol kwa sh. 5000.
Yule mzee alikosa busara
Nina miaka 33 na nimeajiriwa serikalini as a junior officer.
Pimbi wewe.
Lete vyeti vyako nikupe connection
Sio kosa lake kivipi,mbona watu mnapenda dhambi kuliko ubinadamu?Sio kosa lako
Rudi shule we kilaza. Ni nini hiyo umeandika!!? La uandike Kiswahili tu ndio unachokiweza. 😁Greatest satanist person.
Wewe si mburura wa jiwe uliyemiss mapenzi yake pole sana mjane.Rudi shule we kilaza. Ni nini hiyo umeandika!!? La uandike Kiswahili tu ndio unachokiweza. 😁
Sio kosa lake kivipi,mbona watu mnapenda dhambi kuliko ubinadamu?
Ujumbe umefika.Rudi shule we kilaza. Ni nini hiyo umeandika!!? La uandike Kiswahili tu ndio unachokiweza. 😁
Hata Mseveni hatambui makosa yake,hata Lucifer tangu mwanzo wa ulimwengu bado hajatambua makosa yake,hata nduli Amini hakutambua makosa yake,kama umeegemea kwenye makosa huwezi tambua makosa yako.Hicho usemacho it's relative...dhambi kwako kwangu ni ubinadamu...sijui umenipata?!
Hii nchi kuna mambo mengi ya ufisadi mwingi ambao unaendelea katika nchi hii ila watu wengi hawajui tu. Na hao mafisadi ndo alidili nao jpm kipindi cha uhai wake.
Wajinga wengi wakaona kuwa anawaonea bure lakini walikuwa hawajui kilicho kuwa kinaendelea nyuma ya pazia.
Sasa hivi ndo hawa hawa ambao wanajaa mitandaoni kumtukana jpm eti yule alikuwa katili saana, yule alikuwa mbaya saana. Lakini maovu yao hawataki kuyaonyesha.
Na watu fulani nao wanasikia na kuanza kutukana kisa kasikia fulani amesema alikuwa mbaya. Utasikia! yaani ilikuwa uoga kutembea usiku katika nchi yako. Una angalia anaye sema eti alikuwa anaogopa jpm kumteka, Una baki unajichekea tu mwenyewe.
Ila kwa ufupi TZ tunahitaji Rais kama JPM hili tuwe na maendeleo ya kweli.
Nikisoma wanalia hawana Maji na umeme huwa nashindwa wanalalamika nini,si hiyo ndio mnapenda.
Mschweeew.
Sina maoni.Hoja yako ni ipi hapa dogo?
Umeanza kuwa mtabiri..eti angekuwa JPM tungenunua lita kwa shs. 5000.
Nakuhakikisha angekuwa JPM mafuta yasingepungua hata siku mona na bei isingepanda. Hawa walamba asali wanalamba na hadi wanavuka urefu wa kamba zao.
Punguza mahaba, nenda kwenye uharisia.
Tangu JPM aingie madarakani uliona bei za ajabu ajabu? Wese lilikuwa limetulia bei mno. Umeme, Maji..huguma za kijamii.
Shituka kabla ya nchi yako haijazama kabisa kwenye shimo..TZ sasa haina viongozi inajiendesha tu.
Tatizo la TZ ni wananchi na wala sio viongozi, Wananchi wanatakiwa waseme wanachotaka katika maendeleo yao sio kutafuta mtu wa kuwaongoza kutafuta maendeleo. Wananchi ndio waseme wanataka nini na wanataka waongozwa vipi. Nguvu ibaki kwa wanachi na sii kwa viongozi madikteta. Bottom line ni katiba ya wananchi, sasa hivi imetekwa na CCM na Rais wao hawataki wananchi watafute Katiba yao. Katiba iliyopo imetengeneza madikteta na kuwa juu ya wananchi na katiba hii haitakaa itengenezwa na serikali hii wala yeyote ijayo chini ya CCM. Tumenzisha vyama vingi kimagumashi, na tumevidhibiti kupitia matamko yanayopingana na katiba na hakuna cha kufanya kwani katiba iliyopo imewaweka juu ya sheria.Hii nchi kuna mambo mengi ya ufisadi mwingi ambao unaendelea katika nchi hii ila watu wengi hawajui tu. Na hao mafisadi ndo alidili nao jpm kipindi cha uhai wake.