Tanzania inahitaji Rais kama Hayati Magufuli

Magufuli yule mwehu mwenye roho mbaya..alijipa cheo cha Mungu cha kutaka watu waishi kama shetani..Bora malaika wa mauti alimuwahi
 
Hata Mseveni hatambui makosa yake,hata Lucifer tangu mwanzo wa ulimwengu bado hajatambua makosa yake,hata nduli Amini hakutambua makosa yake,kama umeegemea kwenye makosa huwezi tambua makosa yako.

Hata wewe mwenyewe hujajitambua
 
Hii nchi kuna mambo mengi ya ufisadi mwingi ambao unaendelea katika nchi hii ila watu wengi hawajui tu. Na hao mafisadi ndo alidili nao jpm kipindi cha uhai wake.

Wajinga wengi wakaona kuwa anawaonea bure lakini walikuwa hawajui kilicho kuwa kinaendelea nyuma ya pazia.

Sasa hivi ndo hawa hawa ambao wanajaa mitandaoni kumtukana jpm eti yule alikuwa katili saana, yule alikuwa mbaya saana. Lakini maovu yao hawataki kuyaonyesha.

Na watu fulani nao wanasikia na kuanza kutukana kisa kasikia fulani amesema alikuwa mbaya. Utasikia! yaani ilikuwa uoga kutembea usiku katika nchi yako. Una angalia anaye sema eti alikuwa anaogopa jpm kumteka, Una baki unajichekea tu mwenyewe.

Ila kwa ufupi TZ tunahitaji Rais kama JPM hili tuwe na maendeleo ya kweli.
Vikwazo ni wafoji vyeti na wauza ngada, watakwambia raisi wa mfano huo hafai
 
Tunamhitaji haraka sana kwakweli kabla nchi haijabakia screpa.

Maana hawa mchwa kasi yao ya kuitafuna nchi ni ya kutisha.
 
Hivi nyie wapumbavu mtaerevuka lini?
Kila siku JPM, JPM.
Mbona husemi Tanzania inahitaji Rais kama wewe .
ukijipigia upatu unataka urais na hatujui kama unaweza hata kuongoza wadogo zako hilo ni jambo gumu kukuelewa,jpm ameshakuwa rais na tukamuona.
Yaani mmekubali kuwa hamna akili timamu ya kuweza kutawala mpaka mnamtamani marehemu.
we nguruwe kweli,huna hata akili za kukumbuka choo kilipo.
JPM mlisema kuwa ni chabuo la Mungu , Mungu mwenyewe amethibitisha kuwa si chaguo lake.
unajipa uhawala kwa Mungu kuwa msemaji wake,unamjua sana!!!!acha umalaya malaya.
Eti Tanzania tunaihitaji Rais kama JPM ili tuwe na maendeleo ya kweli.
Maendeleo ya kweli ya kutokuongeza MISHAHARA ya watumishi kwa miaka 6?
mshahara hukuongezwa mbona kazi hukuacha!!!mbuzi we.
Maendeleo ya kweli ni kutokupandisha watumishi madaraja ?
unadhani maendeleo ni kishahara peke yake!!!
Maendeleo ya kweli kuokota watu kwenye viroba?
hata kwenye condom wataokotwa tu,hakuna nchi inaishi na waxenge wa kimaendeleo.
Maendeleo ya kweli kweli wananchi kuishi kifukara?
hakuna ufukara mbaya kama kutokuwa na uhakika wa chakula,umeme,maji,matibabu.
Huu umaskini wa wananchi wanaohangahika nao sasa hivi ni urithi wao toka kwa JPM.
hata ndoa mlizoolewa ni toka kwa jpm.
SAMIA Kaichukua nchi ikiwa tupu,
wewe ndio wale wamesemwa na bashiru,acheni kuimba imba kama mbwa zilizoko hiti.
mbaya zaidi kaikuta kwenye effects za COVID-19, kakaa kidogo kakutana na vita ya mabeberu huko Ukraine.
vita ya ukrain na tanzania wapi na wapi!!!wewe nape bwana wako anakulemaza akili mkiwa chumbani,umeanza kufikiri kama yeye kabisa.
Na vita hii JPM angekuwa ndiye Rais wetu wananchi tungenunua petrol kwa sh. 5000.
Yule mzee alikosa busara
hizo busara zikatumike kwenye umeme na maji,kuku wewe.
 
ukijipigia upatu unataka urais na hatujui kama unaweza hata kuongoza wadogo zako hilo ni jambo gumu kukuelewa,jpm ameshakuwa rais na tukamuona.

we nguruwe kweli,huna hata akili za kukumbuka choo kilipo.

unajipa uhawala kwa Mungu kuwa msemaji wake,unamjua sana!!!!acha umalaya malaya.

mshahara hukuongezwa mbona kazi hukuacha!!!mbuzi we.

unadhani maendeleo ni kishahara peke yake!!!

hata kwenye condom wataokotwa tu,hakuna nchi inaishi na waxenge wa kimaendeleo.

hakuna ufukara mbaya kama kutokuwa na uhakika wa chakula,umeme,maji,matibabu.

hata ndoa mlizoolewa ni toka kwa jpm.

wewe ndio wale wamesemwa na bashiru,acheni kuimba imba kama mbwa zilizoko hiti.

vita ya ukrain na tanzania wapi na wapi!!!wewe nape bwana wako anakulemaza akili mkiwa chumbani,umeanza kufikiri kama yeye kabisa.

hizo busara zikatumike kwenye umeme na maji,kuku wewe.
Watu wasiojulikana wamekosa tonge sasa ni matusi tu kwa kwenda mbele.
 
Hii nchi kuna mambo mengi ya ufisadi mwingi ambao unaendelea katika nchi hii ila watu wengi hawajui tu. Na hao mafisadi ndo alidili nao jpm kipindi cha uhai wake.

Wajinga wengi wakaona kuwa anawaonea bure lakini walikuwa hawajui kilicho kuwa kinaendelea nyuma ya pazia.

Sasa hivi ndo hawa hawa ambao wanajaa mitandaoni kumtukana jpm eti yule alikuwa katili saana, yule alikuwa mbaya saana. Lakini maovu yao hawataki kuyaonyesha.

Na watu fulani nao wanasikia na kuanza kutukana kisa kasikia fulani amesema alikuwa mbaya. Utasikia! yaani ilikuwa uoga kutembea usiku katika nchi yako. Una angalia anaye sema eti alikuwa anaogopa jpm kumteka, Una baki unajichekea tu mwenyewe.

Ila kwa ufupi TZ tunahitaji Rais kama JPM hili tuwe na maendeleo ya kweli.
NCHI INAHITAJI DICTATOR MZALENDO
 
Hivi nyie wapumbavu mtaerevuka lini?
Kila siku JPM, JPM.
Mbona husemi Tanzania inahitaji Rais kama wewe . Yaani mmekubali kuwa hamna akili timamu ya kuweza kutawala mpaka mnamtamani marehemu.
JPM mlisema kuwa ni chabuo la Mungu , Mungu mwenyewe amethibitisha kuwa si chaguo lake.
Eti Tanzania tunaihitaji Rais kama JPM ili tuwe na maendeleo ya kweli.
Maendeleo ya kweli ya kutokuongeza MISHAHARA ya watumishi kwa miaka 6?
Maendeleo ya kweli ni kutokupandisha watumishi madaraja ?
Maendeleo ya kweli kuokota watu kwenye viroba?
Maendeleo ya kweli kweli wananchi kuishi kifukara?
Huu umaskini wa wananchi wanaohangahika nao sasa hivi ni urithi wao toka kwa JPM. SAMIA Kaichukua nchi ikiwa tupu, mbaya zaidi kaikuta kwenye effects za COVID-19, kakaa kidogo kakutana na vita ya mabeberu huko Ukraine.
Na vita hii JPM angekuwa ndiye Rais wetu wananchi tungenunua petrol kwa sh. 5000.
Yule mzee alikosa busara
Jipige dole kama upendi kusikia jina JPM hapa tz marais ni wawili tu
1)Nyerere
2)Jpm
Muhuni sa100 kazuia hotuba zozote za nyerere na magufuli zisisikike popote ...vyombo vya habari vimepokea maagizo kuto tutumia hotuba yoyote ya wazalendo kwa kuwa
SAMIA YUPO KWENYE GENGE LA WAHUNI ....NA WAHUNI NI WOTE WANAOCHUKIA UZALENDO
 
Hivi nyie wapumbavu mtaerevuka lini?
Kila siku JPM, JPM.
Mbona husemi Tanzania inahitaji Rais kama wewe . Yaani mmekubali kuwa hamna akili timamu ya kuweza kutawala mpaka mnamtamani marehemu.
JPM mlisema kuwa ni chabuo la Mungu , Mungu mwenyewe amethibitisha kuwa si chaguo lake.
Eti Tanzania tunaihitaji Rais kama JPM ili tuwe na maendeleo ya kweli.
Maendeleo ya kweli ya kutokuongeza MISHAHARA ya watumishi kwa miaka 6?
Maendeleo ya kweli ni kutokupandisha watumishi madaraja ?
Maendeleo ya kweli kuokota watu kwenye viroba?
Maendeleo ya kweli kweli wananchi kuishi kifukara?
Huu umaskini wa wananchi wanaohangahika nao sasa hivi ni urithi wao toka kwa JPM. SAMIA Kaichukua nchi ikiwa tupu, mbaya zaidi kaikuta kwenye effects za COVID-19, kakaa kidogo kakutana na vita ya mabeberu huko Ukraine.
Na vita hii JPM angekuwa ndiye Rais wetu wananchi tungenunua petrol kwa sh. 5000.
Yule mzee alikosa busara
Mpumbavu wa mwisho kabisa, JPM alipokuwa madarakani mafuta yalishuka hadi kufikia 1,800 kwa litre toka 2,400! Hio sababu soko la dunia lilienda kwenye surplus kama effect za Covid. Ila wezi wenu wa sasa badala ya kushusha bei wangeipandisha mara dufu na kusingizia Covid 19! Wamekuja na mbwembwe za Ruzuku kuficha aibu mafuta yanauzwa bei chei huko wao wanalanguwa. Team majizi wamewekana kwenye vitengo nyeti.

Tumeona matatizo chungu tele sasa kisingizio kilikuwa Covid 19 ila sasa sababu zimehamia kwenye vita vya Ukraine.
 
Hii nchi kuna mambo mengi ya ufisadi mwingi ambao unaendelea katika nchi hii ila watu wengi hawajui tu. Na hao mafisadi ndo alidili nao jpm kipindi cha uhai wake.

Wajinga wengi wakaona kuwa anawaonea bure lakini walikuwa hawajui kilicho kuwa kinaendelea nyuma ya pazia.

Sasa hivi ndo hawa hawa ambao wanajaa mitandaoni kumtukana jpm eti yule alikuwa katili saana, yule alikuwa mbaya saana. Lakini maovu yao hawataki kuyaonyesha.

Na watu fulani nao wanasikia na kuanza kutukana kisa kasikia fulani amesema alikuwa mbaya. Utasikia! yaani ilikuwa uoga kutembea usiku katika nchi yako. Una angalia anaye sema eti alikuwa anaogopa jpm kumteka, Una baki unajichekea tu mwenyewe.

Ila kwa ufupi TZ tunahitaji Rais kama JPM hili tuwe na maendeleo ya kweli.
Uzuri mbegu ilikufa na ikazikwa basi furahini na kushangilia na tuzidi kumtukuza mola

Futa machozi kaka, pako karibu kukucha na nuru inakuja.. Amino unachokiona!
 
Mwenyezi Mungu uliyetuondolea jinamizi lile tunakuomba tuepushie mbali tusijepata mtawala sampuli le teeena.
 
Hii nchi kuna mambo mengi ya ufisadi mwingi ambao unaendelea katika nchi hii ila watu wengi hawajui tu. Na hao mafisadi ndo alidili nao jpm kipindi cha uhai wake.

Wajinga wengi wakaona kuwa anawaonea bure lakini walikuwa hawajui kilicho kuwa kinaendelea nyuma ya pazia.

Sasa hivi ndo hawa hawa ambao wanajaa mitandaoni kumtukana jpm eti yule alikuwa katili saana, yule alikuwa mbaya saana. Lakini maovu yao hawataki kuyaonyesha.

Na watu fulani nao wanasikia na kuanza kutukana kisa kasikia fulani amesema alikuwa mbaya. Utasikia! yaani ilikuwa uoga kutembea usiku katika nchi yako. Una angalia anaye sema eti alikuwa anaogopa jpm kumteka, Una baki unajichekea tu mwenyewe.

Ila kwa ufupi TZ tunahitaji Rais kama JPM hili tuwe na maendeleo ya kweli.
Ni Kweli tunahitaji aina ya Magu,

Ila tu asiwe Dicteta.
 
Mpumbavu wa mwisho kabisa, JPM alipokuwa madarakani mafuta yalishuka hadi kufikia 1,800 kwa litre toka 2,400! Hio sababu soko la dunia lilienda kwenye surplus kama effect za Covid. Ila wezi wenu wa sasa badala ya kushusha bei wangeipandisha mara dufu na kusingizia Covid 19! Wamekuja na mbwembwe za Ruzuku kuficha aibu mafuta yanauzwa bei chei huko wao wanalanguwa. Team majizi wamewekana kwenye vitengo nyeti.

Tumeona matatizo chungu tele sasa kisingizio kilikuwa Covid 19 ila sasa sababu zimehamia kwenye vita vya Ukraine.
Kwani kipindi cha COVID-19 umesahau kuwa ulimwengu ulishusha mafuta mpaka kuna kipindi US. waligawa mafuta kwa 0$?
Je, kipindi hichi cha Ukraine war nchi gani imenunua mafuta kwa bei ya chini zaidi au kama ilivyokuwa kipindi cha COVID-19?
 
Hatutaki mambo ya polisi wewe, prosecutor wewe na judge wewe, na huhitaji kuwaweka watu ndani bila kesi, kuwasafishia account zao, kuwateka etc ili kupigana na ufisadi, na ujinga wa kufunga internet nchi nzima ili wizi wa kura umalizike pelekeni kwenu
 
Afadhali ile ile njemba ilidanja Tanzania ingerudi kwenye ujima na ingejitenga na kabisa na nchi zingine kama wamang'ati wanavyoishi maporini
 
Back
Top Bottom