K koro-boy JF-Expert Member Joined Sep 29, 2017 Posts 1,342 Reaction score 1,088 May 9, 2023 #61 Tumekuwa kama Nchi za kifalme huwezi badili mfalme kwani uongozi ni wa kuridhi. Watz ndio wanataka hivyo. Kuwa kiongozi nchi hii lazima uwe kama Magufuli.
Tumekuwa kama Nchi za kifalme huwezi badili mfalme kwani uongozi ni wa kuridhi. Watz ndio wanataka hivyo. Kuwa kiongozi nchi hii lazima uwe kama Magufuli.