Tanzania inahitaji viongozi kama Albert Chalamila

Tanzania inahitaji viongozi kama Albert Chalamila

Nakubaliana na wewe kabisa Jamaa ni mnyoofu panapohitajika kunyooka
 
Ni msema kweli, nyeusi ni nyeusi na nyeupe ni nyeupe. Sio habari ya kupapasa kisiasa kunakodumaza taasisi za umma.
Ulishawahi kuwepo wakati Mrema ni kiongozi? Ulishawahi kusikia historia ya Sokoine,usifananishe na viongozi wanaopiga domo bila vitendo,Chalamira yule ni chawa anakili za CCM leo hii akifukuzwa hana uwezo wa kwenda popote pale na hicho ndiyo kipimo cha kiongozi
 
Ni msema kweli, nyeusi ni nyeusi na nyeupe ni nyeupe. Sio habari ya kupapasa kisiasa kunakodumaza taasisi za umma.
Chalamila na chawa mnajitahidi kusafisha kisichosafishika, that crazy goon hafai hata kuongoza mtaa.
 
Ni msema kweli, nyeusi ni nyeusi na nyeupe ni nyeupe. Sio habari ya kupapasa kisiasa kunakodumaza taasisi za umma.
Huyo naye ni mwanasiasa....kuna pahala hizo sifa ulizommwagia utazipindua CHALI.....

Viongozi wetu wote ni wazuri tatizo ni tafsiri yetu tu kuwaweka katika makundi.....ni tafsiri tu ya mtu kwa kiongozi.....

N.B Mheshimiwa Chalamila ni kiongozi mcheshi sana na kwa huo UCHESHI wake jana aliingizwa katika tuzo za UCHESHI kwa viongozi na hebu angalia aliokuwa nao katika ushindani huo:
1)Mh.Charles Makongoro Nyerere
2)Sheikh Kipoozeo

Binafsi nawaheshimu viongozi wote wa nchi hii kwani wote ni bora na wako wanaofanya kazi bila ya kutaka "attention".

Mwenyezi Mungu amhifadhi na kumlinda mh.Rais Samia na wasaidizi wake wote ikiwemo mh.Albert Chalamila aaamin aaamin!

#JMT milele kivyovyote iwavyo !
 
Back
Top Bottom