Tanzania inahitaji watangazaji wengi zaidi kama hawa hapa

Tanzania inahitaji watangazaji wengi zaidi kama hawa hapa

Lil Ommy kabla ya kukuita kashatembelea account zako za social networking,kishazikiliza interview zako ulizofanya nyuma na mistari ya nyimbo zako.

Kwa hiyo ukuenda kwenye kipindi chake ana maswali mengi yakumuhusu huyo msanii husika.
Yeah ni kweli mkuu, hiyo inaonyesha ni kiasi gani anapenda na kujali kazi yake. Ndiyo maana anaipa muda wa kutosha kufanya kitu ambacho kitakuwa bora!
 
Back
Top Bottom