Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah ni kweli mkuu, hiyo inaonyesha ni kiasi gani anapenda na kujali kazi yake. Ndiyo maana anaipa muda wa kutosha kufanya kitu ambacho kitakuwa bora!Lil Ommy kabla ya kukuita kashatembelea account zako za social networking,kishazikiliza interview zako ulizofanya nyuma na mistari ya nyimbo zako.
Kwa hiyo ukuenda kwenye kipindi chake ana maswali mengi yakumuhusu huyo msanii husika.