Kibuje JF-Expert Member Joined Dec 10, 2018 Posts 292 Reaction score 286 Sep 6, 2019 Thread starter #21 powercable said: Nmemmiss fetty, was the best. Click to expand... We all do.
Kibuje JF-Expert Member Joined Dec 10, 2018 Posts 292 Reaction score 286 Sep 6, 2019 Thread starter #22 joseph1989 said: Lil Ommy kabla ya kukuita kashatembelea account zako za social networking,kishazikiliza interview zako ulizofanya nyuma na mistari ya nyimbo zako. Kwa hiyo ukuenda kwenye kipindi chake ana maswali mengi yakumuhusu huyo msanii husika. Click to expand... Yeah ni kweli mkuu, hiyo inaonyesha ni kiasi gani anapenda na kujali kazi yake. Ndiyo maana anaipa muda wa kutosha kufanya kitu ambacho kitakuwa bora!
joseph1989 said: Lil Ommy kabla ya kukuita kashatembelea account zako za social networking,kishazikiliza interview zako ulizofanya nyuma na mistari ya nyimbo zako. Kwa hiyo ukuenda kwenye kipindi chake ana maswali mengi yakumuhusu huyo msanii husika. Click to expand... Yeah ni kweli mkuu, hiyo inaonyesha ni kiasi gani anapenda na kujali kazi yake. Ndiyo maana anaipa muda wa kutosha kufanya kitu ambacho kitakuwa bora!
Kibuje JF-Expert Member Joined Dec 10, 2018 Posts 292 Reaction score 286 Sep 6, 2019 Thread starter #23 spartacus boy said: well said mkuu uko sahihi Click to expand... I appreciate that.