https://www.facebook.com/
Yani nawapongeza sana wanahabari wa tanzania...siku hz wameamua kuacha uvivu kabisa...asanteni sana kw kuendeleza ule msemo wa mkulu wa "hapa kazi tu"
Viajana pigeni kazi, kitu km kinaenda vibaya piga picha post mitandaoni.
Jitumeni bana hyo ndo taaluma yenu, wana EA mara hii tunatarajia makubwa kutoka kwenu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nchi ya asali na maziwa....heheeee...imekuuma...wanahabari pigeni kazi...[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Haiwezi niuma hata maana ni tatizo linalotatulika.
Ila hizi 13 counties ndio mbaya zaidi na huwezi fungua uzi ila nitakukomesha hapa hapa. [emoji23][emoji23][emoji23]
Huko Kenya panatisha sana
babayao255 unaumia Sana siku hizi na bado as long as jukwaa la siasa na Google zipo tutazidi kuwaanika hapa.
Huko Kenya panatisha sana