komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Yani nawapongeza sana wanahabari wa tanzania...siku hz wameamua kuacha uvivu kabisa...asanteni sana kw kuendeleza ule msemo wa mkulu wa "hapa kazi tu"
Viajana pigeni kazi, kitu km kinaenda vibaya piga picha post mitandaoni.
Jitumeni bana hyo ndo taaluma yenu, wana EA mara hii tunatarajia makubwa kutoka kwenu.