Tanzania inakuwaje taarifa za kisababishi cha ajali zinatolewa kabla ya kupata black box

Tanzania inakuwaje taarifa za kisababishi cha ajali zinatolewa kabla ya kupata black box

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,104
Reaction score
6,827

Waziri mkuu Kassim Majaliwa amesema mpaka sasa idadi ya waliofariki katika ajali ya Ndege ya Precision Air wamefikia 19 huku akisisitiza kuwa kwa namna ndege hiyo ilivyotumbukia katika ziwa Victoria kwa kutangulizi kichwa hakuna matumaini ya rubani wa ndege hiyo kuwa hai.

Waziri mkuu amesema hayo akiwa katika eneo la ajali baada ya kuwasili mchana wa leo na kuongeza kuwa zoezi linaloendelea na kwa sasa kinachoendelea ni utambuzi wa watu waliopoteza maisha na kufanya utaratibu wa kuwapata ndugu zao
 
Jiandae kukatwa na mfumo Jiandae kuadhibiwa na wajumbe wenye wasio na akili za kufikiria kiongozi bora bali mfuko wake

Sent from my LM-Q730 using JamiiForums mobile app
Umesema kweli Mkuu,lakini naamini miakq 5 itatosha angalau kuchangia kitu fulani kwenye Taifa,baada ya hapo wakinipiga chini sawa tu,lakini nitakuwa nimefanya kitu kwa Taifa letu
 
images.jpg

Biden
 
Zile ndege walizokuwa wanakula nazo misere kina nape na mwenzake makamba na ile ya sensa ziko wapi leo zingesaidia kwenye uokoaji
 
Tumesha lewa na COOKING DATA inafika mahala hata hapahitajiki cooked data unakuta tu umesha teleza sijui kusereleka! Dah! Tuvumiliane tu maadam tunajijua hamna namna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi kauli zinaonyesha kuwa tumo in a failed state, uokoaji ni zero na tunakurupuka kuwa bad weather ndio ilisababisha ajali!,facts zipo wapi my PM?,je umeshapata ripoti ya weather ya jana kabla ya ajali?,air controllers waliokua duty umepata ripoti yao?,black box na flight box umeshazipata na kujua kilichomo mle my PM?,wataliano ambao ni lazima wawe sehemu ya uchunguzi wameshafika na kutoa ripoti ya uchunguzi wao?,uzuzu ndio tegemezi pekee la politicians wetu kuwaburuza mazuzu
 
JE WAMEIPATA BLACK BOX??

AU NDIO ILE JPM ANACHAPA KAZI.

Jamaa ni Muongo sana yani.
 
Waziri mkuu Kassim Majaliwa amesema mpaka sasa idadi ya waliofariki katika ajali ya Ndege ya Precision Air wamefikia 19 huku akisisitiza kuwa kwa namna ndege hiyo ilivyotumbukia katika ziwa Victoria kwa kutangulizi kichwa hakuna matumaini ya rubani wa ndege hiyo kuwa hai.

Waziri mkuu amesema hayo akiwa katika eneo la ajali baada ya kuwasili mchana wa leo na kuongeza kuwa zoezi linaloendelea na kwa sasa kinachoendelea ni utambuzi wa watu waliopoteza maisha na kufanya utaratibu wa kuwapata ndugu zao
hitilafu ilisharipotiwa na rubani kabla ya ajali
 
black box? sio kweli hiyo ndege haikuteketea wala kuvunjika kwa hiyo black box ipo sio ya kutafuta
 
Back
Top Bottom