Tanzania inakuwaje taarifa za kisababishi cha ajali zinatolewa kabla ya kupata black box

Tanzania inakuwaje taarifa za kisababishi cha ajali zinatolewa kabla ya kupata black box

Huyo jamaa kwenye picha kashika
Nini

Ova
 
Na kama communication itaeleza kwamba rubani alielekezwa apeleke kwenye maji waongazaji ndege wanatakiwa kuchapwa viboko 24 ,12 vya kuingia rokapu,12 vya kutoka wakawaonyeshe wake zao.
 
CVR na FDR zitatusaidia kutoa majibu.
Polisi wetu hawana uwezo wa kujua chanzo
 
Back
Top Bottom