hata ingekua wewe kwenye nafasi yake ungesema hivyo hivyo mkuuPM huyu si ndo alisema Hayati Magufuli yu mzima anachapa kazi?
Jiandae kukatwa na mfumo Jiandae kuadhibiwa na wajumbe wenye wasio na akili za kufikiria kiongozi bora bali mfuko wakeNimeshaamua 2025 nagombea ubunge, hii nchi ukisubiri mabadiliko hayaji bora ukajaribu mwenyewe
Umesema kweli Mkuu,lakini naamini miakq 5 itatosha angalau kuchangia kitu fulani kwenye Taifa,baada ya hapo wakinipiga chini sawa tu,lakini nitakuwa nimefanya kitu kwa Taifa letuJiandae kukatwa na mfumo Jiandae kuadhibiwa na wajumbe wenye wasio na akili za kufikiria kiongozi bora bali mfuko wake
Sent from my LM-Q730 using JamiiForums mobile app
Niliiona dodoma inapeperusha bango la senzaZile ndege walizokuwa wanakula nazo misere kina nape na mwenzake makamba na ile ya sensa ziko wapi leo zingesaidia kwenye uokoaji
hitilafu ilisharipotiwa na rubani kabla ya ajali
Waziri mkuu Kassim Majaliwa amesema mpaka sasa idadi ya waliofariki katika ajali ya Ndege ya Precision Air wamefikia 19 huku akisisitiza kuwa kwa namna ndege hiyo ilivyotumbukia katika ziwa Victoria kwa kutangulizi kichwa hakuna matumaini ya rubani wa ndege hiyo kuwa hai.
Waziri mkuu amesema hayo akiwa katika eneo la ajali baada ya kuwasili mchana wa leo na kuongeza kuwa zoezi linaloendelea na kwa sasa kinachoendelea ni utambuzi wa watu waliopoteza maisha na kufanya utaratibu wa kuwapata ndugu zao
Harrison Ford