mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 88,759 Reaction score 123,368 Nov 7, 2022 #21 Huyo jamaa kwenye picha kashika Nini Ova
dronedrake JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 23,901 Reaction score 58,103 Nov 7, 2022 #22 sajo said: Harrison Ford Click to expand... uko vizuri sana ☺️
MakinikiA JF-Expert Member Joined Jun 7, 2017 Posts 5,104 Reaction score 6,827 Nov 7, 2022 Thread starter #23 Na kama communication itaeleza kwamba rubani alielekezwa apeleke kwenye maji waongazaji ndege wanatakiwa kuchapwa viboko 24 ,12 vya kuingia rokapu,12 vya kutoka wakawaonyeshe wake zao.
Na kama communication itaeleza kwamba rubani alielekezwa apeleke kwenye maji waongazaji ndege wanatakiwa kuchapwa viboko 24 ,12 vya kuingia rokapu,12 vya kutoka wakawaonyeshe wake zao.
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 70,791 Reaction score 98,334 Nov 7, 2022 #24 CVR na FDR zitatusaidia kutoa majibu. Polisi wetu hawana uwezo wa kujua chanzo