DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Hapa Tanzania vijana wao kutwa nzima nikuongelea Pombe, Mpira na Ngono na hapo wanasiasa uchwara wanapopata njia ya kuitawala hii nchi bila kufata misingi ya haki na utawala bora.
Hivyo basi nipende kuwaaambia ukweli safari ya asali na maziwa imeharibiwa na hii generation ya sasa hivi inayoendekeza ngono na pombe.
Hitimisho naomba serikali iwekeze kwa vijana ili angalau wajitambue tu. Maana huku mtaani mambo mazito kama magazijuto, vijana hawana pesa zaidi ya karatasi za kubetia.
Yaani siasa zetu zimekuwa kama mwanamke Malaya Asubui anampenda huyu ,na jioni anamuumiza Yule.