Tetesi: Tanzania inalipwa mabilioni ya fedha toka nje ambazo zimefanywa siri na serikali hazina rekodi, tumenunulia ndege, na kujenga SGR na Stiegler nk


Kuna sehemu yoyote ambayo inaonyesha helium imeshaanza kuchimbwa? Ninachoelewa hakuna kitu kama hicho
 
Kuna sehemu yoyote ambayo inaonyesha helium imeshaanza kuchimbwa? Ninachoelewa hakuna kitu kama hicho
Hakuna sehemu duniani Helium inachimbwa, Tanzania itakuwa ya kwanza. Hadi sasa Helium inazalishwa na nchi sita tu duniani, kwa kutumia natural gas, njia ambayo ina gharama kubwa kuliko kuchimba ardhini. Tanzania ni nchi pekee duniani ambayo ina Helium ardhini kwa kiwango kinachoweza kuchimbwa.
 

Kaka Riwaya hii. Habari haina Ukweli

1. Fedha zote za Umma lazima ziingie mfuko Mkuu Hazina. Ni LAZIMA. Huwezi kununua ndege etc bila ya Fedha kutoka Hazina. Kuwa nchi inapokea Fedha kutoka nje haiwezekani hata Kidogo. Mfumo wa Fedha wa Dunia lazima ungeshanasa maana Fedha zalipwa kaa Benki. Makampuni ya Ujenzi kama Reli ya SGR yanalia hayalipwi. Hakuna Fedha. Uliza suppliers wa SGR watakwambia.

2. helium ina mgogoro mkubwa kati ya kampuni ya HeliumOne na kampuni ya Heritage. Hakuna linaloweza kufanyika kwa sasa kwenye Helium.Pia potential ya Tanzania ya Helium ni kuingiza kama $200m kwa mwaka kama exports na sio kodi za Serikali.

so hii ni hadithi. Fiction
 
Shukurani sana Zitto! Hizi ndizo point zinazotakiwa kwenye habari inayotolewa kama tetesi ili kubainisha ukweli!
 
Vipi upande wa madini napo unamaoni gani?

Maana kumekuwa na kauli kuwa tuyaache chini wakati utafika tutayatumia.

Sent using Jamii Forums mobile app
hizo porojo .Teknolojia zikibamdilika tunaweza kuja kulia. mfano mmadini ya ulanga yalikuwa hot cake kwa kutengenezea vioo vya madirisha na vioo vya magari leo hii ulanga ni takataka tu

tuna chuma liganga hatuchimbi tunakaa tukiota kuwa soko litabaki hivyo milele .Watu wanagundua teknolojia mpya kila siku iko siku tutalia kwa ujnga wa kutokuwahi
 

Mkuu everything, including Helium gas project was put on hold. How could someone with no on going project pays you? Is that the way white boys gamble?
I don't think so. At least with the information I have, hata helium project nao wanahangaika kwenye corridor za wizara waanze kuichimba hiyo gas.
 
Sasa kati ya Waziri wa Fedha na hao walipaji nani muongo??? Maana trunaambiwa tumekopa trillions
 

BY the way, hili suala la deposit ya Helium Tanzania na revenue ya Helium One ya wastani wa $200m kwa mwaka limeangaliwa kwa undani kweli? Ninavyoelewa, chanzo kikubwa cha Helium cha sasa, USA, karibu kinakuwa depleted. Hebu angalia hii article ya BBC;

Helium shortage: 'Prices just keep going up and up'
By Katie Hope Business reporter, BBC News
17 September 2019

"Prices just keep going up and up," says Steve Durnford, director of family business Balloons of London.

The store, which sells party balloons to both individuals and firms, is a victim of a global shortage in helium that has seen prices for the gas surge.

Mr Durnford says the cost of the helium he buys has risen three times this year, between 8% and 10% each time.

It's not just celebrations suffering. The gas is also essential in medicine, electronics and deep-sea diving.

For example, it's crucial in the magnetic resonance imaging (MRI) scans that doctors use to get detailed images from inside patients.

It's also important in deep sea diving and in scientific research, as well as for the production of computer chips and liquid crystal displays such as TV screens.

There's no central wholesale price for the gas, because it is not traded on global markets.

Phil Kornbluth, the founder of Kornbluth Helium Consulting, which advises clients on commercial aspects of the global helium business, says the "price has gone up an awful lot in a short space of time".

"There's no magic number. The price of helium varies quite a bit around the world, depending on where you are in the supply chain and whether you're buying at source and how you're buying it as a liquid or as a gas, for example," he says.

"But it's safe to say the price has gone up 50% to 100%, depending on who you are and where you are in the supply chain."

Mr Kornbluth says the catalyst for the latest rise in price was a US government auction of crude helium in August last year.

The national helium reserve is now one of the biggest suppliers of helium. It was originally set up as a strategic store for supplying gas to US airships, but has auctioned its supplies annually to private industry since 2013. However, this was the last such auction until 2021.

At the auction, the average price for crude helium rose a whopping 135% year-on-year as industrial users acted to boost stocks for future years.

"It wasn't very difficult for major suppliers to pass this increase on to their customers, so it did affect worldwide pricing," says Mr Kornbluth.

What is helium and what is it used for?
  • Helium is an inert gas, which means that it does not react with other substances. It has the lowest boiling point of any element at -269C and a low density, which is why it is used to make items float
  • It is used in the space industry to keep satellite instruments cool and clean out rocket engines. It was also used to cool the liquid oxygen and hydrogen that powered the Apollo space vehicles
  • Helium is used as a cooling medium for the Large Hadron Collider (LHC) and the superconducting magnets in medical MRI scanners
  • Helium is often used to fill party balloons, weather balloons and airships because of its low density
  • A mixture of 80% helium and 20% oxygen is used by deep-sea divers and others working under pressurised conditions
A single auction can have so much influence over pricing because there are very few helium suppliers.

The gas, which is formed by the decay of radioactive rocks in the earth's crust, accumulates in natural gas deposits and is collected as a by-product of the gas industry.

Separating the helium from the natural gas and storing the helium is expensive, time-consuming and difficult and therefore relatively rare.

One of the UK's biggest helium suppliers, BOC warns on its website that orders may be restricted because of the current shortage.

"Due to a global helium shortage, all pure helium and balloon gas orders are currently on a full-for-empty basis only and are being fairly allocated to all our customers," it says.

New supplies
Mr Kornbluth says the current shortage should ease from next year, with new supplies then expected to come into the market from Algeria and Qatar, and subsequently from Russia in 2021.

But David Cole-Hamilton, emeritus professor of chemistry at the University of St Andrews, says given helium's importance in medical fields, its use for balloons should be banned.

He estimates that about 10% of the overall supply of helium is used for balloons, something he says is "absurd" given its supply is so limited.

"If you said to people, do you want a helium balloon or an MRI scan for your daughter, it's an obvious choice," he says.

But Mr Durnford says people will continue to buy them for special occasions. "People are only 30, 40 or 50 once. If they want it, they will have it," he says.
 
Good point. But the question then is, why was Helium production in the country put on hold, while government is in such dire need of forex? Was it pressure from the US government?

Would our government reveal to Helium One the actual reasons why they are told to put Helium production on hold? I recall Helium One said they were ready to start production in 2020.
 

Mining and extraction industries were all subjected to scrutiny after the Barrick/Acacia issue. The government wanted everything to be reviewed to ensure the country gets the benefits.
Slowly, things have started showing a life again. And the changes have made every player aware of the need to play by the rules of the game that exist.
Ni ngumu sana kuchimba Helium kinyemela. Sababu hata infrastructure bado hawajaiweka sawa
 
Mh zitto my hero we ndio sababu ya Mimi kusoma uchumi,nilikuwa napenda sana anavyo chambua na kutoa hoja zako bungeni 2008-2010.wewe ndio role model wangu ipo siku nitakutafuta.
 
Tatizo kubwa katika nchi yetu ni usiri mkubwa ambao unatamalaki katika mikataba nyeti ya madini, mafuta (kama yatakuwepo) na gesi asilia Ndio maana jambo hili hupelekea hisia tofauti kwa wadadisi na wafukunyuku wa mambo.

Historia inathibitisha kusa viongozi wetu licha ya kuonyesha kukosa umakini wa kuingia ktk mikataba ya miradi husika, pia hujikuta wakibanwa na masharti ya kimkataba na kuishia kuwalaumu hao inaowaita kuwa mabeberu. Ni vyema jopo la wataalamu wazalendo na pia waliibobea katika masuala ya madini, mafuta na gesi asili wangaliandaliwa mazingira rafiki na endelevu kwenda kujifunza ktk nchi nyingine hasa za Afrika, ambazo imethibika hunufaika kwa tija kimikataba kupitia rasilimali kama hizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida mabeberu ni wanyonyaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NA HILI DENI LA TRILIONI 60 LNATOKA WAPI KAMA SIO MIKOPO?
 

You are very cheap. Kwako Bora Siasa kuliko maendeleo. Tz mna kazi sana kama akili yako ndo imeishia Hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…