Uchawa mbaya sana. Unapaswa kuongezwa kama janga la nne la taifaKipindi Cha baada ya uhuru tulikuwa na maadui wakubwa watatu yaani ujinga, maradhi na umaskini, lakini hivi sasa Kuna uchawa na ccm yenyewe
Taifa halipo salama sana katika metric za uchumi na hali inaweza kuzidi kuwa mbaya siku zijazo
Kabisa ni toxic behaviorUchawa mbaya sana. Unapaswa kuongezwa kama janga la nne la taifa
GDP haikuanzishwa ili kuwa kipimo cha uchumi, watu wamelazimisha tu.Tanzania imeendelea kuporomoka katika nafasi ya kiuchumi kutoka nafasi ya 9 mwaka 2022 kwenda nafasi ya 11 mwaka 2024 hadi nafasi ya 12 mwaka 2026 kwa ukubwa wa uchumi barani Afrika.
Chanzo: IMF – World Economic Outlook, Aprili 2026.
View attachment 3693102
Natamani kuona tukirudi tena top 10 maana hadi DRC wametupita sasahivi
Unatamani ?Tanzania imeendelea kuporomoka katika nafasi ya kiuchumi kutoka nafasi ya 9 mwaka 2022 kwenda nafasi ya 11 mwaka 2024 hadi nafasi ya 12 mwaka 2026 kwa ukubwa wa uchumi barani Afrika.
Chanzo: IMF – World Economic Outlook, Aprili 2026.
View attachment 3693102
Natamani kuona tukirudi tena top 10 maana hadi DRC wametupita sasahivi
upande wa horticulture tuna nafasi kubwa sana, japo hatua zinazopigwa ni hafifu sanaUnatamani ?
Tunahitaji mikakati madhubuti angalia tuu hiyo gape Congo ~122- 96 Tanzania
Miundombinu tuu yaku support ni issue tuangalie wenzetu Kenya wananufaika vipi kwa bandari ambayo na sisi tunayo lakini je Congo vilevile Uganda inamaanisha mizigo mingi ya east Africa itakuwa inapita sana Mombasa
Hamna tulichonyimwa kwa East Africa kuna vitu vingi tunavyo ila biashara kati yetu na majirani zetu ni duni sana hapo mshindani wetu ni Uganda .upande wa horticulture tuna nafasi kubwa sana, japo hatua zinazopigwa ni hafifu sana
AIBU waCONGO wanapigana vita ila wanakushinda UCHUMI! sio kitu cha kujivunia kabisaTanzania imeendelea kuporomoka katika nafasi ya kiuchumi kutoka nafasi ya 9 mwaka 2022 kwenda nafasi ya 11 mwaka 2024 hadi nafasi ya 12 mwaka 2026 kwa ukubwa wa uchumi barani Afrika.
Chanzo: IMF – World Economic Outlook, Aprili 2026.
View attachment 3693102
Natamani kuona tukirudi tena top 10 maana hadi DRC wametupita sasahivi
kuna muda unaweza sema wazi kabisa serikali imedhamiria watu wasiondokane na umasikini , japo watu binafsi kwasasa wanasaidia sana kupush sekta hiiHamna tulichonyimwa kwa East Africa kuna vitu vingi tunavyo ila biashara kati yetu na majirani zetu ni duni sana hapo mshindani wetu ni Uganda .
Nature yetu watanzania tupo kulingana na viongozi asili yetu imejengwa hivyo kuna mda tunalala kuna mda tunatembea na kukimbia mchakamchaka huko kwenye sekta binafsi kuna ushindani lazma ujitume hata mfanyakazi wakufagia,kwenye umma huku wanajua ukiboronga utahamishwa. Je ufanisi utatoka wapi? Wananchi wanazalisha kwa gharama hasa wakulima angalia soko lao angalia tunazalisha kiasi gani na kwa East Africa mnunuzi wetu mkuu na wa uhakika ni nani? Ukitaka kunielewa angalia ziara za hivi karibuni Waziri Makonda,na Makamu wa rais unajikuta unashangaa watanzania bila kufatiliwa hatufanyi kazi lakini pia tunaleana hayo maendeleo yatatoka wapi na hatuko serious!kuna muda unaweza sema wazi kabisa serikali imedhamiria watu wasiondokane na umasikini , japo watu binafsi kwasasa wanasaidia sana kupush sekta hii
Ghana,Ivory Coast,DRC wote walikuwa nyuma yetu. Ikifika 2030 tutakuwa namba 20 huku mazuzu yakishangilia unapigwa mwingi.Tanzania imeendelea kuporomoka katika nafasi ya kiuchumi kutoka nafasi ya 9 mwaka 2022 kwenda nafasi ya 11 mwaka 2024 hadi nafasi ya 12 mwaka 2026 kwa ukubwa wa uchumi barani Afrika.
Chanzo: IMF – World Economic Outlook, Aprili 2026.
View attachment 3693102
Natamani kuona tukirudi tena top 10 maana hadi DRC wametupita sasahivi
ChangamotoGhana,Ivory Coast,DRC wote walikuwa nyuma yetu. Ikifika 2030 tutakuwa namba 20 huku mazuzu yakishangilia unapigwa mwingi.