Tanzania inatakiwa kuvunja Mkataba wa Loliondo!

1. kitalu

2. Ndiyo, kuna uwanja wa ndege, na ndege za kijeshi tangu miaka mingi, lakini hamna mtu anayefanya uchunguzi.

3. muda

4. Ulishavunjwa.

5. –

6. Gharama kwa haki ya ardhi na haki za binadamu ni ghali kuliko faida yoyote.

7. Wanalipa kodi (nadhani …). Serikali imeiba ardhi kwa ukatili mkubwa, kwa kuwafurahia ”waarabu”.

8. Serikali inavunja katiba kila siku.

9. Sijui. Kupaza sauti, kwenda mahakamani ...

10 TANAPA ni mbaya kama OBC ("waarabu")! Wanaingia kufanya uhalifu pamoja na OBC! Ni kitu kimoja! Ardhi ya Loliondo ni ardhi ya vijiji!

Sorry for not writing in Swahili. Since there’s a risk nobody will read, it’s too much time and effort, and I have problems making myself understood even in English.

Lots of confusion in this post. You don’t need any special “contract” to commit the crimes that are being committed in Loliondo. A wealthy “investor” - and this one is specially influential - with a regular hunting block (licence to hunt) is quite enough. There was a special irregular contract signed in 1992 that was revoked after the Loliondogate scandal erupted, but OBC have continued through all these years, and got significantly worse.

There isn’t any monitoring, in Loliondo or elsewhere, and hunting regulations can be violated. However, since the 1990s nobody has provided any evidence. This is both because there isn’t any monitoring and because nobody has made any real effort beyond asking questions in social media. There is also a possibility that no live animals have been flown out.

Of course, there’s an airfield, there are several in Loliondo, but OBC have their own. This can be googled in seconds, and the start of the clip with Kinana is from that airfield.

There used to be an Etisalat message when OBC had guests and you switched on your phone within a 20 km radius of their camp. Some say this is still the case.

Though the real and very serious crime is against land rights and human rights, and this is VERY well documented. There were many years of lobbying by the investor OBC that organize hunting for Sheikh Mohammed of Dubai to have their core hunting area of 1,500km2 of registered village and important grazing land for the Maasai turned into a protected area. This led to a local police state, several mass arson operations, “arrests” for the sake of intimidation, and a most brutal and lawless land theft in 2022.

In June 2022 and ongoing, Loliondo was brutally and lawlessly attacked by security forces, demarcating and then evicting everyone from a fake and illegal 1,500km2 “game reserve” (that was illegally gazetted months later as "Pololeti Game Reserve"). All councillors from affected wards were abducted and locked up for over 5 months, there were shootings, beatings, slashings with bayonets, rape, theft of motorbikes and telephones, destruction of houses, illegal arrests and trumped up charges, even shooting of cows, thousands fled to Kenya, everyone was supposed to squeeze into residential and agricultural areas with very insufficient grazing areas left, having to enter their own land as thieves at night for grazing, seizing and huge “fines” (extortion) on livestock that continue.

The government can get rid of OBC and return to land to the Maasai tomorrow. There isn’t any “mystery” in this. There’s just greed, selfishness, cruelty, anti-pastoralism, tourism cult, and support from unethical donors like the Germans.
 
tunatakiwa kujua kwanza nini tunafaidika nao, what do we gain out of it, shilingi ngapi tunapata kila mwaka, Loliondo ipo Tanzania, ni mali yetu, kama hatufaidiki hatutakiwi kuendelea kuwashikilia hawa jamaa, ikiwa mikononi mwetu watalii wataneda ka uhuru kama wanavyoenda ngorongoro na serengeti na wanyama wetu hawatakuwa wanabebwa kila siku kupelekwa uarabuni. mbona rahisi sana hii kuelewa, au akili yako imejaa sperms?
Mswali yote haya kaulize kwa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro akuonyeshe mapato yatokanayo na mkataba huo pamoja na CSR projects
 
HIli suala la Mkataba wa Loliondo halijaongelewa tu na wananchi au na wamasai tu, kuna tuhuma nyingi, zingine hatujui kama ni za kweli au za uongo. mara tuambiwe ukiwa pale Loliondo network ya simu ni ya uarabuni sio ya kibongo, mara tuambiwe kuna uwanja wa ndege kule madege huwa yanatua na kubeba wanyama wale tunaoambiwa wametengenezewa mbuga jangwani uarabuni, mara tuambiwe ardhi ile iliuzwa mazima sio part of Tanzania ni ardhi ya waarabu. Tunaomba mnaojua mtueleweshe yafuatayo:

1. Loliondo iliuzwaje, iliuzwa iwe milki ya waarabu au waliwekeza tu kitalu cha uwindaji?

2. Kuna kiwanja cha ndege? pale kinafanya nini hasa tukizingatia tuliona lidege la kivita limedondoka pale na mfalme wa UAE wakisalimiana na Kinana?

3. Mkataba wa Loliondo ni wa milele au wa muda fulani?

4. Maaskofu walisoma kitabu cha Mwinyi, wanasema alikiri kwenye kitabu hicho kwamba alifanya makosa na anajutia mkataba wa Loliondo, manake ni mbovu, hatuwezi kuuvunja?

5. Tukivunja mkataba huo tutapata hasara gani?

6. Tukiuacha mkataba huo, watanzania tunapata shilngi ngapi? hivi tunafaidikaje nao?

7. Wanalipa kodi? au ndio ardhi yao wanaishi na wanyama kama vile wapo uarabuni tu?

8. Mkataba kama utakuwa wa aina hiyo, si unavunja katiba? kama unavunja katiba hatuwezi kuuvunja huo mkataba?

9. Tumejipangaje kwa viongozi wanaoingia mikataba mibovu ili wakiharibu waje waandike kitabu kujutia na hakuna hatua yeyote inachukuliwa dhidi yao.

10. TUAMUE KWA KUFUMBA MACHO, TUVUNJE HUU MKATABA NA LOLIONDO IBAKI MIKONONI MWA TANAPA, labda kama siuelewi vizuri. na kama kuna mtu anao huo mkataba weka hapa ili tuujadili. wanyama wale uarabuni wamefikaje? na tulishaona wanapandishwa ndege hapahapa bongo, matwiga yanapandishwa ndege wakati tunaona.

MUNGU IBARIKI TANZANIA.
Tatizo ni waTz hasa zaidi waTanganyika . Hatuwezi kudai kwa nguvu kinachoitwa haki. Tunaibembeleza serikali kwa kudhani kuna mtu huko anawafikiria wananchi na wazalendo. Hivi vitu vinatakiwa kudaiwa kwa njia zozote. Hata isiyo pendeza machoni pa watawala.
 
Hawa viongozi waswahili kuwaingiza kingi ni rahisi sana, maana elimu dunia hawaitilii maanani sana hivyo hawana critical thinking, ona sasa utalii umehamia dubai kwa kutumia wanyama wetu.
Hatari sana
 
kwani tukivunja mkataba wa Loliondo, hata kama tutalipa pesa, tukabaki na Loliondo yetu, kuna shida gani? au haiwezekani? kwasababu Mwinyi alishaeleza kwenye kitabu chake kwamba alifanya makosa makubwa sana kuruhusu ule mkataba.
And we are heading to another one......
 
Hivi mbona hamsemi mikataba ya buzwagi bulyahulu na mingine ivunjwe mkishaona tu mkataba kaingia mwarabu tu kosa
bunzwagi na buly ilishasemwa sana na kuna watu walishakimbia hata hii nchi kwa kupinga hiyo mikataba. shida yako ni kwamba waarabu wamekuweka kinyumba ndio maana hata wakifanya maovu kwako wewe huwezi kuyaona, hadi pale utakapopewa talaka ndio utafumbuka macho.
 
faida kiasi gani tunaipata LOliondo hata kusababisha makashfa kila mwaka watu wanailalamikia na mkataba hauvunjwi, Mwinyi hadi ameandika kwenye kitabu chake kuwa anajilaumu kuwapa waarabu kile kitalu? na hadi aandike kuwa alijilaumu inamaana haina ukomo? alijilaumuje sasa kama mkataba ulikuwa na ukomo? tukivunja tutapata hasara gani?
 
HIli suala la Mkataba wa Loliondo halijaongelewa tu na wananchi au na wamasai tu, kuna tuhuma nyingi, zingine hatujui kama ni za kweli au za uongo. mara tuambiwe ukiwa pale Loliondo network ya simu ni ya uarabuni sio ya kibongo, mara tuambiwe kuna uwanja wa ndege kule madege huwa yanatua na kubeba wanyama wale tunaoambiwa wametengenezewa mbuga jangwani uarabuni, mara tuambiwe ardhi ile iliuzwa mazima sio part of Tanzania ni ardhi ya waarabu. Tunaomba mnaojua mtueleweshe yafuatayo:

1. Loliondo iliuzwaje, iliuzwa iwe milki ya waarabu au waliwekeza tu kitalu cha uwindaji?

2. Kuna kiwanja cha ndege? pale kinafanya nini hasa tukizingatia tuliona lidege la kivita limedondoka pale na mfalme wa UAE wakisalimiana na Kinana?

3. Mkataba wa Loliondo ni wa milele au wa muda fulani?

4. Maaskofu walisoma kitabu cha Mwinyi, wanasema alikiri kwenye kitabu hicho kwamba alifanya makosa na anajutia mkataba wa Loliondo, manake ni mbovu, hatuwezi kuuvunja?

5. Tukivunja mkataba huo tutapata hasara gani?

6. Tukiuacha mkataba huo, watanzania tunapata shilngi ngapi? hivi tunafaidikaje nao?

7. Wanalipa kodi? au ndio ardhi yao wanaishi na wanyama kama vile wapo uarabuni tu?

8. Mkataba kama utakuwa wa aina hiyo, si unavunja katiba? kama unavunja katiba hatuwezi kuuvunja huo mkataba?

9. Tumejipangaje kwa viongozi wanaoingia mikataba mibovu ili wakiharibu waje waandike kitabu kujutia na hakuna hatua yeyote inachukuliwa dhidi yao.

10. TUAMUE KWA KUFUMBA MACHO, TUVUNJE HUU MKATABA NA LOLIONDO IBAKI MIKONONI MWA TANAPA, labda kama siuelewi vizuri. na kama kuna mtu anao huo mkataba weka hapa ili tuujadili. wanyama wale uarabuni wamefikaje? na tulishaona wanapandishwa ndege hapahapa bongo, matwiga yanapandishwa ndege wakati tunaona.

MUNGU IBARIKI TANZANIA.
CCM ndio adui mkubwa wa rasilimali zetu
 
Unakumbuka kufirwa tu ndiyo unachojuwa mse nge wewe
Tuambie kwanza, kuna hasara yoyote tukiweka bondi hiyo mikalio yako kwa mwarabu? Halafu ndio tuone kama kuna hasara ya kugawa Loliondo kwa mwarabu
 
CCM ndio adui mkubwa wa rasilimali zetu
nakubaliana na wewe. wanaringia kuiba kura na kutisha watu. tunachotakiwa ni kwenda na vyote, kura tutapigia chama kingine na MUNGU tunatakiwa kumuomba ili apukutishe maadui zetu yaani afute kabisa hiki chama tukisikie tu kwenye vitabu vya historia. jambo hili kwa mwanadamu ni gumu ila kwa MUNGU Inawezekana. kuna siku Mungu atawafanyia sapraizi hawataamini na tutapora mali zao zooote walizojilimbikizia kwa wizi kuanzia msoga hadi zanzibar.
 
HIli suala la Mkataba wa Loliondo halijaongelewa tu na wananchi au na wamasai tu, kuna tuhuma nyingi, zingine hatujui kama ni za kweli au za uongo. mara tuambiwe ukiwa pale Loliondo network ya simu ni ya uarabuni sio ya kibongo, mara tuambiwe kuna uwanja wa ndege kule madege huwa yanatua na kubeba wanyama wale tunaoambiwa wametengenezewa mbuga jangwani uarabuni, mara tuambiwe ardhi ile iliuzwa mazima sio part of Tanzania ni ardhi ya waarabu. Tunaomba mnaojua mtueleweshe yafuatayo:

1. Loliondo iliuzwaje, iliuzwa iwe milki ya waarabu au waliwekeza tu kitalu cha uwindaji?

2. Kuna kiwanja cha ndege? Pale kinafanya nini hasa tukizingatia tuliona lidege la kivita limedondoka pale na mfalme wa UAE wakisalimiana na Kinana?

3. Mkataba wa Loliondo ni wa milele au wa muda fulani?

4. Maaskofu walisoma kitabu cha Mwinyi, wanasema alikiri kwenye kitabu hicho kwamba alifanya makosa na anajutia mkataba wa Loliondo, manake ni mbovu, hatuwezi kuuvunja?

5. Tukivunja mkataba huo tutapata hasara gani?

6. Tukiuacha mkataba huo, watanzania tunapata shilngi ngapi? hivi tunafaidikaje nao?

7. Wanalipa kodi? au ndio ardhi yao wanaishi na wanyama kama vile wapo uarabuni tu?

8. Mkataba kama utakuwa wa aina hiyo, si unavunja katiba? kama unavunja katiba hatuwezi kuuvunja huo mkataba?

9. Tumejipangaje kwa viongozi wanaoingia mikataba mibovu ili wakiharibu waje waandike kitabu kujutia na hakuna hatua yeyote inachukuliwa dhidi yao.

10. TUAMUE KWA KUFUMBA MACHO, TUVUNJE HUU MKATABA NA LOLIONDO IBAKI MIKONONI MWA TANAPA, labda kama siuelewi vizuri. na kama kuna mtu anao huo mkataba weka hapa ili tuujadili. wanyama wale uarabuni wamefikaje? na tulishaona wanapandishwa ndege hapahapa bongo, matwiga yanapandishwa ndege wakati tunaona.

MUNGU IBARIKI TANZANIA.
Kuna mengi hatujawahi kuambiwa lakini yanageuka kuwa mafuta soon na yatakaa juu ya maji
 
Amina!
 
Kwani tukivunja mkataba wa Loliondo, hata kama tutalipa pesa, tukabaki na Loliondo yetu, kuna shida gani? au haiwezekani? kwasababu Mwinyi alishaeleza kwenye kitabu chake kwamba alifanya makosa makubwa sana kuruhusu ule mkataba.
Wanafiki tu, mbona wakati wanajutia hawarudishi maokoto waliyopewa? Ni Hali ya kujitetea ili wakifa waache hadithi nzuri... Bahati mbaya mabaya ndio yanahadithiwa mpaka kiama...ngoja na bi mkubwa anze uandishi wake kuhusu bandari! 😁😁
 
Back
Top Bottom