Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
- Thread starter
- #41
walitakiwa baada ya kujuta, wajikute wapo kisutu.Wanafiki tu, mbona wakati wanajutia hawarudishi maokoto waliyopewa? Ni Hali ya kujitetea ili wakifa waache hadithi nzuri... Bahati mbaya mabaya ndio yanahadithiwa mpaka kiama...ngoja na bi mkubwa anze uandishi wake kuhusu bandari! 😁😁